Kwa zamani kila miji ilikuwa na Watemi wake....miaka ya 80 Iringa alikuwepo kurnaini KUR 9...ambaye mwishoni alijeruhiwa kwa risasiNimetoka kuwasikia kwa juu juu kwamba katika miaka hiyo walikuwa na heshima yao jiji la Mwanza. Kuna msanii mmoja walitaka kumpiga, lakini alinusurika baada ya kuzuiwa na msanii wa eneo hilo.
Labda ulikuwa hujichangaji kwenye madiscoKwa hiyo wakitaka kumpiga mtu ndio heshima!!?? Labda pengine walikuwa wanaheshimika Kwenye ubalozi wao wa nyumba kumi maana hata mtaani hawajulikani ndio ije kuwa Mwanza nzima!!???Nimezaliwa na kukulia mwanza rufiji,nimesomea nyakabungo p/s na sekondari nimesomea mwanza sekondari miaka hiyo unayoitaja ila sijawahi kusikia kuhusu hao watu na matukio takribani 97% yaliyotokea kipindi hicho nayafahamu,sijawahi kusikia kuhusu umaarufu wa hao kina mabruki