chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Nimestaafu mwezi uliopita
Nasubiri kiinua mgongo changu kama milioni kadhaa.
Napenda sana mpira nikiangalua EPL napata wazimu.
Natamani nikaishi England nifie huko
Kinachonishangaza kuna uzi wa magari ulikuja humu jamaa anauliza kwa nini waingereza hawanunui magari ya landrover na range,kuna wachangiaji kadhaa walicomment kuwa England ni masikini hawawezi kununua hayo magari,namkumbuka Brondo kama mchangiaji mmoja wapo.
Je ni kweli waingereza ni masikini
Maisha yangu yote najua waingereza wako vizuri kiuchumi
Sio england tu kiufupi nchi zilizoendelea zisikie tu.
Maisha yapo juu na kodi ni mwanzo mwisho sio hapa domo anapiga kelele kuhusu TRA.
Nyumba za kupanga zipo juu sana yani chumba kimoja unaweza kukuta 750k~1m hapo ni mjini labda ukaishi bush tren maasa kufika.
fursa ni zawachache kuliko kipato.