Mliowahi kuishi Uingereza ni kweli ile nchi ina masikini wengi?


Sio england tu kiufupi nchi zilizoendelea zisikie tu.

Maisha yapo juu na kodi ni mwanzo mwisho sio hapa domo anapiga kelele kuhusu TRA.

Nyumba za kupanga zipo juu sana yani chumba kimoja unaweza kukuta 750k~1m hapo ni mjini labda ukaishi bush tren maasa kufika.

fursa ni zawachache kuliko kipato.
 
Masikini wapo. Ila masikini wa UK ana uhakika wa nyumba,chakula na mavazi. Back to that thread sio UK tu dunia nzima masikini hawezi kumiliki Range rover,Discovery 2 3,4 au Jaguar.
 
Dah kumbe
 
Hiyo sentensi ya mwisho ni mawazo ya kimaskini.
 
Kwani amesema anataka kufanya biashara au kula raha na kuangalia EPL na kufa huko huko 🤠
 
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…