Mliowahi kupigana darasani leteni ushuhuda wenu hapa

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mkuu ilikua hakuna anaekubali, yaani kifupi tulitoshana nguvu kabisa kabisa. Kuna muda mashambilizi yanakua kwangu na muda mwingine kwake ila kila mtu alikua anayatoa.

Aisee kupigana ni kazi jama ile siku tulichoka mnoo. Ila mapambano yangu mengine hata dk 5 nyingi nishamchapa mpinzani.
 
[emoji38][emoji38]
Ungejaribu zichapa japo ck 1 uje tusimulia bana[emoji23][emoji23]
 
Na wewe heshima yako lazima iendelee kuwepo kwa huyo Ticha
 
Kuna jamaa nilikuwa namuonea sana ndio alikuwa fala wangu.

Siku hiyo akaamua kunitest hahahaha.
Maana nilikuwa maneno mengi mikwara kibao huku mweupe kabisa!!

Jamaa aliniotea roba moja halafu madenti wengine wakawa wanashangilia kwamba asiniachie hadi nikojoe!

Kiukweli siku hiyo nilimuona ziraili kbs..
Ilibidi nikojoe tuu maana sio kabali ile.
Hata angetaka ninye ningekunya!!

Hapo heshima ikawepo..
Akaletwa chalii mwingine tena alikuwa na kaumbo kadogo halafu mi bonge la mtu.

Nikaanza bullying kama kawaida.
Yule dogo akatonywa na wambea kwamba mi mweupe mikwara tuu..

Dogo akaniamulia siku hiyo akanishika mapumbuu acha maneno kabisaaa!!
Yaani kumpiga nilishindwa nikabaki nimetulia tuu.mkono mmoja kanibana mapumbuu mwingine ananipiga ngumi na makofi!!
Kalikuwa kafupi yaani kunipiga kofi hadi karuke juu km masai ndo kanipate.hahahaha
 
Noma sana, ila ukweli ni kwamba ulileta heshima
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mechi inapangwa mapema hivyo[emoji1787][emoji1787]

Yaani ukiikosa kuicheki hiyo burudani umejitakia mwenyew
 
Hahahahhahahah
 
Naona mkuu uliinjoy mitanange mikali
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu ulikuwa unajiandaa kwa mechi muda wowote[emoji1787][emoji1787]
Ulitisha sana
 
Hahahahahah kipindi tunasoma na mtoto wa Juma Ngasongwa waziri wa viwanda back in that time. Salim alikuwa machachari sana ila kumbe mdomo mwingi ngumi hajui bana sasa kumbe wana walikuwa wanamuogopa bure kabla hatujau std 7 si akawa anamzingua dogo mmoja anaitwa Zamdeen. Dogo siku ya graduation akaja na kakaake anaitwa Aladeen babu. Sasa siku hio Zamdeen akamchezesha Salim ili ampambanishe na braza wake! Kilichotokea siku ya graduation Salim alikula vitasa vya chap chap alilia kama mtoto *****!๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
Mkuu ukaona isiwe tabu, ukawamwagia kojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ