Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Asante kwa mchango wako mkuu[emoji120][emoji120]Usiogope Kununua...Hazina shida yoyote Ile...ila Fanya research zaidi.
Mabat bomba nimetumia miaka 3.Hello Wadau.
Nipo stage ya kupaua nyumba. Nyumba inadai bati 110 , sasa ukigusa huku Alaf na kina Sunshare ni mkasi kweli kweli...
Hapo ukimaanisha SUNSHARE kiongozi?Hamna bati mle mkuu!
Bati nyepesi kama karatasi...
Asante kwa maoni. Kama hutojali naomba nikucheki PMMabat bomba nimetumia miaka 3.
2020, 2021 na mwaka huu wako vizuri
Nataman sana ila mambo yameumana balaa. Budget kikomo. Nishasqueez to the last pointMkuu nakushauri jikaze ununue tu Bati za Alaf, hivi vikampuni vidogo vidogo Bati zao hazina Ubora..
Kwani ukienda kiwandani huwezi pata kwa nafuu hizi?Mimi nina uhitaji wa bati reject kwa ajili ya uzio, mwenye connection tujuzane tafadhali
Ndiyo mkuuHapo ukimaanisha SUNSHARE kiongozi?
Alafu sasa hivi bati nzuri inaanzia elfu 39,000 ya rangi lakiniKumbe wahanga wa bati tupo wengi na mimi jumatatu nataka niende kwa hao jamaa nikazitazame nb,sio kwamba hatupendi hizo bora ila pesa ya kuchungulia sana
Mahaba tu. Bati ya Rangi inavutia kwa kwelliHivi zile bati za kawaida kwani zina shida gani?
Duuuh. Kwa hali hii kuna raia hawatapaua maboma yao kwakweliAlafu sasa hivi bati nzuri inaanzia elfu 39,000 ya rangi lakini
Ni kweli kabisa. Nakupm namba yangu. Nitaomba j3 tuwasiliane angalau unipe mrejesho. Kwa sasa nipo safari RuangwaKumbe wahanga wa bati tupo wengi na mimi jumatatu nataka niende kwa hao jamaa nikazitazame nb,sio kwamba hatupendi hizo bora ila pesa ya kuchungulia sana
Ukiweka hizo white afu ukapiga rangiMahaba tu. Bati ya Rangi inavutia kwa kwelli