Mliowahi kutumia bati za kampuni ya BATI BOMBA LTD au kampuni zozote ndogo za mabati

Ndugu P.D Nzige

Kutokana na uzoefu wangu kwenye ujenzi mimi huwa nafanya hivi,naangalia nikiweka za kawaida nitaokoa kiasi gani nikiweka za rangi nitapata hasara kiasi gani?mf bati nyeupe ya kawaida dukani ni 27,000/= ALAF kiwandani ni 37,500/= (currently price nimenunua juzi mwezi august) tofauti yake ni Tsh 10,500/=so kwa kesi yako ukisema uende na za kawaida it mean uta-save Tsh 1,155,000/= tu ambayo kwenye ujenzi wa nyumba ya bati 110 tuseme kwa ukubwa wake ukisema ifanye kitu kuendeleza ujenzi hakuna kitu itafanya kama ungependezesha kwenye paa.

Miaka mitatu mbele kama utaweka bati za kawaida utazichukia utataka uzipige rangi na itaku-cost siyo chini ya 700K na siyo rangi ya kudumu itakutaka tena baada ya muda fulani uirudie kwa gharama kama hiyo au zaidi.tofauti ya million 1 isikufanye nyumba yako ikose kupendeza weka kitu kizuri hata hizi za kichina achana nazo utakuta zinauzwa Tsh 33,000/= tofauti 4,500/= tu na ALAF ila kama kuweka bati za kawaida uta-save zaidi ya 2 mill weka tofauti na hivyo usiweke
 
Ukiweka hizo white afu ukapiga rangi
Rangi ndoo moja siyo chini ya 70K sasa nyumba ina bati zaidi ya 100 zitahitajika ndoo ngapi?

Fundi atakaening'inia kwenye paa lako hutamlipa chini ya 300K so ukitulia chini na daftari ukapiga hesabu utakuta wengi tunaokimbia bati nzuri baada ya miaka miwili mitatu ya kuishi kwenye hizo nyumba tunaanza kuumia kwanini tusingefanya mwanzo baada ya kukuta kurekebisha makosa kuna gharama zaidi.
 
Sawa mkuu...kinachoniuma ni kuwa nazo zinapauka fastaa
 
Ndugu P.D Nzige

Kutokana na uzoefu wangu kwenye ujenzi mimi huwa nafanya hivi,mf bati nyeupe ya kawaida dukani ni 27,000/= ALAF ni 37,500/= (currently price nimenunua mwezi august) so kwa kesi yako ukisema uende na za kawaida it mean uta-save Tsh 1,155,000 tu ambayo kwenye ujenzi wa nyumba ya bati 110 tuseme kwa ukubwa wake ukisema ifanye kitu kuendeleza ujenzi hakuna kitu itafanya kama ungependezesha kwenye paa.

Miaka mitatu mbele kama utaweka bati za kawaida utazichukia utataka uzipige rangi na itaku-cost siyo chini ya 700K na siyo rangi ya kudumu itakutaka tena baada ya muda fulani uirudie kwa gharama kama hiyo au zaidi.tofauti ya million 1 isikufanye nyumba yako ikose kupendeza weka kitu kizuri hata hizi za kichina achana nazo utakuta zinauzwa Tsh 33,000/= tofauti 4,500/= tu na ALAF ila kama kuweka bati za kawaida uta-save zaidi ya 2 mill weka tofauti na hivyo usiweke
Shukrani kwa Mawazo yako Kaka
 
Hello Wadau.

Nipo stage ya kupaua nyumba. Nyumba inadai bati 110 , sasa ukigusa huku Alaf na kina Sunshare ni mkasi kweli kweli

Nina option mbili mkononi
1.nipige bati za kawaida tu
2.nipige bati za rangi toka kampuni ndogo ndogo.

Sasa hapo namba mbili nimeona kuna kampuni inaitwa Bati Bomba Ltd inajinasibu sana kuwa na bati konki master.

Naomba mwenye uzoefu kwa namna moja au nyingine na hiki kiwanda au hivi viwanda vidogo vidogo vya bati anisaidie mawazo na uzoefu wake

Hii bei ya bati itaondoa roho yangu aisee

,[emoji120][emoji120][emoji120]
Mimi nimewahi kuezeka nyumba kwa kutumia mabati ya rangi. Mwaka 2014 niliezeka nyumba kwa mabati ya kampuni ya Ando. Huu ni mwaka Wa 8 sasa bati lipo vizuri. Na mwaka jana nimeezeka nyumba nyingine kwa mabati ya Kampuni ya Taishan, ni mwaka sasa sijaona tatizo lolote lile, labda kwa miaka ijayo.
 
Ando bei zao zipo? Na vipi hao Taishan upande wa bei
 
Asante kwa maoni. Kama hutojali naomba nikucheki PM
Bati bomba wapo vizuri mwaka wa pili huu zipo hazijapauka hiyo kauli ya ndau kuwa ni nyepesi kweli nyepesi na hiyo ni ubora na material wansyotengenezea bati likiwa zito inapelekeaa kushika kitu na kupauka hivyo ule wepesi ni uwezo wa bati ishishike kutu na kupauka aluminum hiyo inakuwa nyingi zaidi nakushauri chukua bati bomba
 
Sawa.

Basi nunua kwenye hivi Vikampuni uchwara kisha baada ya muda uje kubadilisha.

Niliwahi kununua mabati ya Kiwanda fulani kiko Kinyerezi, ndani ya miezi sita nyumba ikaanza kuvunja nikalazimika kung'oa paa Lote nikaenda ALAF..

Sitakaa nithubutu kupaua na Bati tofauti na ALAF abadan..
Kuwa mkweli mkuu,yani utengeneze kiwanda kikubwa cha mabati,uajiri na wafanyakazi,kodi ulipe serikalini,na TBS wakupitishe kwa kutengeneza bati zinazodumu miezi 6 tu,hata kama ndio vita ya biashara sio kwa mtindo huo...
 
Bati bomba wapo vizuri mwaka wa pili huu zipo hazijapauka hiyo kauli ya ndau kuwa ni nyepesi kweli nyepesi na hiyo ni ubora na material wansyotengenezea bati likiwa zito inapelekeaa kushika kitu na kupauka hivyo ule wepesi ni uwezo wa bati ishishike kutu na kupauka aluminum hiyo inakuwa nyingi zaidi nakushauri chukua bati bomba
Asante Kiongozi
Nadhan wachanifanye conclusion ya kwenda Bati bomba tu.

Last time unanunua ilikua bei gani kwa 30g IT5
 
Mkuu kwanza fahamu hamna bati isiopauka rangi hasa kwa mazingira ya kama dar es salaam kinachotofautiana n muda wa kuchelewa kupauka tu ndo unatofautiana, nina shuhuda nyingi za bati toka alaf na sunshire ya kupauka baada ya muda kwa dar es salaam, unaweza fanya utafiti wa nyumba iliojengwa kwa bati ya alaf ilio na miaka mitano toka iwekwe then angalia hali ya bati yake.
Kwa kulijua ilo mi binafsi niliamua niweke bati bomba tu kwenye kibanda changu na ishaanza pauka ingawa rate ya kupauka n ndogo, alaf au sunshire utaingia gharama kubwa tu then baada ya miaka isiozid mitatu utaja jilaum kwa gharama ulizotumia na matokeo unayoyapata.

Na wasichokijua watu kwenye wepesi wa bati una tegemea na gage ya hio bati unayonunua huwez fananisha wepesi wa bati bila kujua kama zina gage sawa au laaa, ila bat kama n gage 30 bac wepesi wake kampuni zote unafanana tu.
 
Asante sana Kiongozi. Nimeamua kujivisha mabomu huko huko Bati Bomba. Nadhan by tarehe 20 nitadaka mzigo.

Nitatoa mrejesho. Mana leo nimebonga nao bei wamekazi Kwenye 23k
 
IMG_1024.jpg

Viwanda vyote huagiza hizo coated rolls
 
Back
Top Bottom