Mliowahi kutumia bati za kampuni ya BATI BOMBA LTD au kampuni zozote ndogo za mabati

Kimsingi biashara ya Bati ina Pesa sana hivyo kuna viwanda mpaka vya kisanii tu vya mtaani,mtu anaenda China hapo ananunua Mashine zile za Bei chee anakuja anafyatua tu Bati anaingiza Pesa,kupata Kibali/chapa TBS ni fasta ukitoa Bahasha tu,nina jamaa zangu wametajirika you ndani ya miaka miwili tu kwa biashara ya Bati,Watanzania wengi hawana uwezo kununua Bati za ALAF,hivyo wanapambana na hizihizi za vikampuni vya mfukoni kama Bati Bomba na nyingine nyingi zilizopo mitaani
 
Mkuu jipinde tafuta aina ya Kiboko! Hayo kwa quality ni sawa na Alaf!
Hayo mengine baada ya miaka 3 yanapauka!
 
Mkuu jipinde tafuta aina ya Kiboko! Hayo kwa quality ni sawa na Alaf!
Hayo mengine baada ya miaka 3 yanapauka!
hii nayo sasa ni mtiti, tunaamani bati lisilo pata kutu na lisilo pauka mapema! je ni kampuni gani bora? ALAF AU ANDO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…