Mliowapigisha show hadi wakataja majina NJOONI HAPA

Joined
May 22, 2026
Posts
50
Reaction score
103
Wadau kwema pamoja na kuwa mgeni hapa ningependa kushare stori na nyinyi. Mimi ni kijana mwenye miaka 30, nafanya kazi katika ofisi fulani.

Jana, nilipomaliza saa za kazi na kutoka ofisini, sikupita popote nilienda nyumbani yapata saa 1 jioni. Ile nafika tu wife alinipa kumbatio ambalo sijawahi pewa na mtu mwingine nami sikukawia nikampa busu tamu macho yake yaliregea kuashiria kwamba alinihitaji kwa hali na mali; nami sikufanya kosa taratibu nikamvua chup* na kuanza kuitandika.

Tumeenda we, ghafla akawa anatoa sauti za ajabu mara kidume nikarukiwa maji ila cha ajabu kabla hajamaliza maji yote alitamka jina la mtu mwingine mpaka akanikata stimu. Nikamuuliza, huyo Hans ni nani? Akakataa hajatamka jina la mtu labda mimi ni mawenge yangu.

Wakuu, najua hapa kuna wataalamu pia kuna wazoefu na pengine mshawahi kukutana na scenario kama hii, naombeni mtie neno maana nipo njiapanda ukizingatia nampenda sana yaani.

Karibuni
 
Mkuu kwanza hongera kwa kumfikisha kileleni hakika wewe ni mfano wa kuigwa kuhusu kutaja hilo jina huwa inatokea endapo mkeo alishawahi kuwa na mahusiano hapo awali pengine wewe unamkuna kama huyo jamaa yake Hans
 
Wadau kwema pamoja na kuwa mgeni hapa ningependa kushare stori na nyinyi. Mimi ni kijana mwenye miaka 30, nafanya kazi katika ofisi fulani.

Jana, nilipomaliza saa za kazi na kutoka ofisini, sikupita popote nilienda nyumbani yapata saa 1 jioni. Ile nafika tu wife alinipa kumbatio ambalo sijawahi pewa na mtu mwingine nami sikukawia nikampa busu tamu macho yake yaliregea kuashiria kwamba alinihitaji kwa hali na mali; nami sikufanya kosa taratibu nikamvua chup* na kuanza kuitandika.

Tumeenda we, ghafla akawa anatoa sauti za ajabu mara kidume nikarukiwa maji ila cha ajabu kabla hajamaliza maji yote alitamka jina la mtu mwingine mpaka akanikata stimu. Nikamuuliza, huyo Hans ni nani? Akakataa hajatamka jina la mtu labda mimi ni mawenge yangu.

Wakuu, najua hapa kuna wataalamu pia kuna wazoefu na pengine mshawahi kukutana na scenario kama hii, naombeni mtie neno maana nipo njiapanda ukizingatia nampenda sana yaani.

Karibuni
Hance Mtanashati unaitwa huku. X wako kakukumbuka...
 
Back
Top Bottom