Mliowapigisha show hadi wakataja majina NJOONI HAPA

Wadau kwema pamoja na kuwa mgeni hapa ningependa kushare stori na nyinyi. Mimi ni kijana mwenye miaka 30, nafanya kazi katika ofisi fulani.

Jana, nilipomaliza saa za kazi na kutoka ofisini, sikupita popote nilienda nyumbani yapata saa 1 jioni. Ile nafika tu wife alinipa kumbatio ambalo sijawahi pewa na mtu mwingine nami sikukawia nikampa busu tamu macho yake yaliregea kuashiria kwamba alinihitaji kwa hali na mali; nami sikufanya kosa taratibu nikamvua chup* na kuanza kuitandika.

Tumeenda we, ghafla akawa anatoa sauti za ajabu mara kidume nikarukiwa maji ila cha ajabu kabla hajamaliza maji yote alitamka jina la mtu mwingine mpaka akanikata stimu. Nikamuuliza, huyo Hans ni nani? Akakataa hajatamka jina la mtu labda mimi ni mawenge yangu.

Wakuu, najua hapa kuna wataalamu pia kuna wazoefu na pengine mshawahi kukutana na scenario kama hii, naombeni mtie neno maana nipo njiapanda ukizingatia nampenda sana yaani.

Karibuni
Hakuna mwanamke hapo. Huyo ni tapeli wa mapenzi aliyepata hifadhi kwenye himaya yako.
 
Bapo ni aidha kwa mara ya kwanza leo umemnyandua vizuri, umefikia level za hans..
ama anawasiliana na hans wake, sasa kamkaa moyoni..

Mimi hayajawahi nikuta... ila iliwahi nitokea, nimemaliza kumkamua mtu, katika maongezi nikatamka jina la mwanamke mwimgine kabisa, na hii ilijirudia kama mara 3 hivi, 1 kawaida 2 tumetoka kunyanduana.

Aisee yule mwanamke alimaindi kinoooma, kumshusha kwake ugomvi ilikuwa ni kumdaka na kumnyandua tena, yule ilikuwa nikimkosea ni kumuwahi tu, nikiwa namnyandua atatoa dukuduku lake, atalia hapo hapo, namuomba msamaha wakati tunanyanduana na kesi inaishia hapo, na ukimnyandua vizuri kiasi akachoka sana anapitiwa na usingizi kesi imeisha hata akiamka ama mkimaliza kunyanduana kesi haiongelewi kwa uzito ule, ni inakuwa imekufa kibudu
 
Katajwa Hans tu wewe tayari waona wivu? Wewe ichape vizuri tu....
Akitajwa Ema je? si utajinyonga kabisa
 
Bapo ni aidha kwa mara ya kwanza leo umemnyandua vizuri, umefikia level za hans..
ama anawasiliana na hans wake, sasa kamkaa moyoni..

Mimi hayajawahi nikuta... ila iliwahi nitokea, nimemaliza kumkamua mtu, katika maongezi nikatamka jina la mwanamke mwimgine kabisa, na hii ilijirudia kama mara 3 hivi, 1 kawaida 2 tumetoka kunyanduana.

Aisee yule mwanamke alimaindi kinoooma, kumshusha kwake ugomvi ilikuwa ni kumdaka na kumnyandua tena, yule ilikuwa nikimkosea ni kumuwahi tu, nikiwa namnyandua atatoa dukuduku lake, atalia hapo hapo, namuomba msamaha wakati tunanyanduana na kesi inaishia hapo, na ukimnyandua vizuri kiasi akachoka sana anapitiwa na usingizi kesi imeisha hata akiamka ama mkimaliza kunyanduana kesi haiongelewi kwa uzito ule, ni inakuwa imekufa kibudu
Aiseee
 
Mwambie atamke Hance Mtanashati Kant Ombe ×7.
Akiweza kutaja hizo awamu zote bila kutoa machozi, basi elewa tu kwamba pengine mautamu yalimzidia tu akajikuta karopoka hilo jina.
Ila kama atashindwa kutamka na kuishia kutoa kwikwi za kilio, basi uamzi upo juu yako kwamba muendelee ku share na mjuba hance au umuachie tamu yake.
😃
 
Back
Top Bottom