Mliowapigisha show hadi wakataja majina NJOONI HAPA

Mliowapigisha show hadi wakataja majina NJOONI HAPA

ningekupa ushauri ila bahati mbaya haijawahi kunitokea, na badala yake mimi ndo nimewahi kutaja jina la mwingine muda wa tukio

siyo bahati mbaya mkuu nilitaja jina la demu mwingine na nilikuwa nimekolea sana huko kipindi hicho. ndo maana siku hizi masuala ya kuongea chochote muda wa sex sitaki...

nakaaga kama bubu mpaka tendo liishe kwa mbaali miguno ila siyo hizi herufi A mpaka Z
 
Aisee jamaa anagongewa na Hance wa Mbezi
 
Wadau kwema pamoja na kuwa mgeni hapa ningependa kushare stori na nyinyi. Mimi ni kijana mwenye miaka 30, nafanya kazi katika ofisi fulani.

Jana, nilipomaliza saa za kazi na kutoka ofisini, sikupita popote nilienda nyumbani yapata saa 1 jioni. Ile nafika tu wife alinipa kumbatio ambalo sijawahi pewa na mtu mwingine nami sikukawia nikampa busu tamu macho yake yaliregea kuashiria kwamba alinihitaji kwa hali na mali; nami sikufanya kosa taratibu nikamvua chup* na kuanza kuitandika.

Tumeenda we, ghafla akawa anatoa sauti za ajabu mara kidume nikarukiwa maji ila cha ajabu kabla hajamaliza maji yote alitamka jina la mtu mwingine mpaka akanikata stimu. Nikamuuliza, huyo Hans ni nani? Akakataa hajatamka jina la mtu labda mimi ni mawenge yangu.

Wakuu, najua hapa kuna wataalamu pia kuna wazoefu na pengine mshawahi kukutana na scenario kama hii, naombeni mtie neno maana nipo njiapanda ukizingatia nampenda sana yaani.

Karibuni
Tumia maaraifa haya sijui wangapi walijua

View: https://www.facebook.com/reel/4365490053708223
 
Back
Top Bottom