Sanctus Libela
Member
- May 22, 2026
- 50
- 103
😁Ndugu Hans ni mm hapa.
Mkuu kwanza hongera kwa kumfikisha kileleni hakika wewe ni mfano wa kuigwa kuhusu kutaja hilo jina huwa inatokea endapo mkeo alishawahi kuwa na mahusiano hapo awali pengine wewe unamkuna kama huyo jamaa yake HansWadau kwema pamoja na kuwa mgeni hapa ningependa kushare stori na nyinyi. Mimi ni kijana mwenye miaka 30, nafanya kazi katika ofisi fulani.
Jana, nilipomaliza saa za kazi na kutoka ofisini, sikupita popote nilienda nyumbani yapata saa 1 jioni. Ile nafika tu wife alinipa kumbatio ambalo sijawahi pewa na mtu mwingine nami sikukawia nikampa busu tamu macho yake yaliregea kuashiria kwamba alinihitaji kwa hali na mali; nami sikufanya kosa taratibu nikamvua chup* na kuanza kuitandika.
Tumeenda we, ghafla akawa anatoa sauti za ajabu mara kidume nikarukiwa maji ila cha ajabu kabla hajamaliza maji yote alitamka jina la mtu mwingine mpaka akanikata stimu. Nikamuuliza, huyo Hans ni nani? Akakataa hajatamka jina la mtu labda mimi ni mawenge yangu.
Wakuu, najua hapa kuna wataalamu pia kuna wazoefu na pengine mshawahi kukutana na scenario kama hii, naombeni mtie neno maana nipo njiapanda ukizingatia nampenda sana yaani.
Karibuni
Usifanye akajinyonga huyu😄😄Ndugu Hans ni mm hapa.
😁😁😁😁Usifanye akajinyonga huyu😄😄
Hance Mtanashati unaitwa huku. X wako kakukumbuka...Wadau kwema pamoja na kuwa mgeni hapa ningependa kushare stori na nyinyi. Mimi ni kijana mwenye miaka 30, nafanya kazi katika ofisi fulani.
Jana, nilipomaliza saa za kazi na kutoka ofisini, sikupita popote nilienda nyumbani yapata saa 1 jioni. Ile nafika tu wife alinipa kumbatio ambalo sijawahi pewa na mtu mwingine nami sikukawia nikampa busu tamu macho yake yaliregea kuashiria kwamba alinihitaji kwa hali na mali; nami sikufanya kosa taratibu nikamvua chup* na kuanza kuitandika.
Tumeenda we, ghafla akawa anatoa sauti za ajabu mara kidume nikarukiwa maji ila cha ajabu kabla hajamaliza maji yote alitamka jina la mtu mwingine mpaka akanikata stimu. Nikamuuliza, huyo Hans ni nani? Akakataa hajatamka jina la mtu labda mimi ni mawenge yangu.
Wakuu, najua hapa kuna wataalamu pia kuna wazoefu na pengine mshawahi kukutana na scenario kama hii, naombeni mtie neno maana nipo njiapanda ukizingatia nampenda sana yaani.
Karibuni
ChaiHance Mtanashati unaitwa huku. X wako kakukumbuka...
Asubuhi wanawaza mapenzi tuVijana kama hawa wanamchango mdogo Kwenye taifa
Ofisi ni meridian?
WanamshenyenteaUnambaruza weye kichwani anamvutia picha Hans kwani ndiye anayemkunaga vizuri.
Pole sana
Cc Smart911
Yuko wapi Smart11 aje ampe mwongozoWanamshenyentea
Pole yake ila huwa inauma sana yaani
Tatizo niwakiume angekuwa wakike ningemwita ampe mwongozo fastaaaaa😄😄😄Yuko wapi Smart11 aje ampe mwongozo
Inakata stimu kinomaaaPole yake ila huwa inauma sana yaani
Mkuu nipe tu mwongozo ukiwa kama mwanamke mwenzioTatizo niwakiume angekuwa wakike ningemwita ampe mwongozo fastaaaaa😄😄😄