WanakutombeaWadau kwema pamoja na kuwa mgeni hapa ningependa kushare stori na nyinyi. Mimi ni kijana mwenye miaka 30, nafanya kazi katika ofisi fulani.
Jana, nilipomaliza saa za kazi na kutoka ofisini, sikupita popote nilienda nyumbani yapata saa 1 jioni. Ile nafika tu wife alinipa kumbatio ambalo sijawahi pewa na mtu mwingine nami sikukawia nikampa busu tamu macho yake yaliregea kuashiria kwamba alinihitaji kwa hali na mali; nami sikufanya kosa taratibu nikamvua chup* na kuanza kuitandika.
Tumeenda we, ghafla akawa anatoa sauti za ajabu mara kidume nikarukiwa maji ila cha ajabu kabla hajamaliza maji yote alitamka jina la mtu mwingine mpaka akanikata stimu. Nikamuuliza, huyo Hans ni nani? Akakataa hajatamka jina la mtu labda mimi ni mawenge yangu.
Wakuu, najua hapa kuna wataalamu pia kuna wazoefu na pengine mshawahi kukutana na scenario kama hii, naombeni mtie neno maana nipo njiapanda ukizingatia nampenda sana yaani.
Karibuni
🔥 🔥Wanakutombea
Haaaaaaaah huenda kafufukaKuna mtu humu JF alikua na jina kama hilo lako la mwanzo Sanctus alishafariki,alikua na madini sana.Wapenda K.U.M.E.R ni muda wenu sasa
Aaanh wapi, mubaba wangu huwa hana haraka kama huyo jamaa 😂Au wewe ndio mubaba wa Binti wa zamani
Usiende kugombana nae / kumwacha lakini!Mkuu nipe tu mwongozo ukiwa kama mwanamke mwenzio
Weee kumbe!! Ndo ajue anaibiwa sasaHayanaga miongozo, huyo Hans walianzana kwenye s.ex chat ya simu...
Huyu jamaa ana haraka sana anatakiwa kua anafuatilia nyuzi zako vyemaAaanh wapi, mubaba wangu huwa hana haraka kama huyo jamaa 😂
Binti wa zamani naupenda uandishi wake unaweza kumwaga walai kwa kusoma tu nyuzi zakeHuyu jamaa ana haraka sana anatakiwa kua anafuatilia nyuzi zako vyema
Nachoka mimifatilia tu taratibu maana huku hatutamjua hans ndo nani, hapo umepata important clue inabidi uifatilie taratibu
TAYARIIII🤣🤣🤣🤣🙌Wadau kwema pamoja na kuwa mgeni hapa ningependa kushare stori na nyinyi. Mimi ni kijana mwenye miaka 30, nafanya kazi katika ofisi fulani.