Mliozaliwa kuanzia 1990 hadi 1997 someni hapa, msome Kwa umakini

Mtoa mada huko sahihi, lakini hakuna kitu sikielewagi kama kusema huu umri inabidi uwe umeshaoa au umepata mtoto/watoto. Sijui ni nani aliyelisha jamii za kiafrika mapatano haya, nafikiri jamii ingejikita zaidi kwenye ustawi binafsi wa mtu mmoja mmoja katika kujikomboa na utumwa wa kifedha, kifikra na hata kiimani ili kupata uhuru binafsi. Baada ya hapo kila mmoja aamue namna ya kuyatumia maisha yake.

# Enewei life begins at 40
 
Mimi hakuna kitu nashangaaga mnakutana vijana kabisa mke na mme mnazaa afu unaamza kutafuta vya bure serikalini
 
Uko sahihi sana lakini huoni kwamba kuwa na mke kunaokoa gharama nyingi?

Naomba nijitolee mfano Mimi,

Kabla sijaanza kuishi na mwanamke(hatujafunga ndoa) kiwango Cha chini Kwa matumizi yangu Kwa siku yalikua sio chini ya elfu 50. Ila baada ya kuishi na huyu bibie Kwa siku nikitumia sana Hela ni elfu 20 kitu ambacho mwanzoni nilikua siwezi kabisa.

Ukiishi peke yako matumizi ni makubwa kuliko ukiwa na mwenza, jaribu kuuliza watu watakupa ukweli
 
Hili nalo likatizamwe.
Pia huu ni muda muafaka kutengeneza assets ili kujikinga na inflation na kujiandaa pindi utakapokuwa mzee hapo baadae.
 
Sawa ufanye yote hayo then? Kuna watu mkishakuwa na watoto na kufanikiwa kujenga basi mnaona dunia yenu, mipango siyo matumizi na mwisho sa siku yote ni UBATILI!
 
Ukitoboa mpaka 80 alafu?
 
Ukitoboa mpaka 80 alafu?
Baada ya kufa hao watoto hawatokusaidia pia ,kufa ndio basi hata mali unaacha .

Baada ya kufa vitu vyote vya duniani ni batili kama elimu ,mali ,familia ,ndugu vyote unaviacha.
 
Ujumbe mzuri sana wa kufungia mwaka kwetu sisi vijana
 
H
Hela ya nywele,kucha,vocha na matibabu yake mbona ni cost mzee
 
Asante kwa ushauri mkuu, nitafanya hayo yote kasoro KUOA hilo halipo kabisa katika mipango yangu.
 
Kuna harufu ya jinsia moja hapa
Ww kama umezooea kufirwa na ndo tabia yako endelea na tabia yako usingize wengine.

Kila mtu ana mipango ya maisha yake haiwezi sema sijui mtu tisini na ngap lazima awe na mtoto alafu nikuone wa maana! Ni upumbavu sio lazima kuwa na watoto
 
Watanzania wengi kama mtoa mada ni mabingwa wa kutoa ushauri bila kuombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu mambo wasiyoyaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…