Uchaguzi 2020 Mlipopanga kususa mlijadili haya? Mmejitakia catche 22!

CalvinKimaro

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
245
Reaction score
314
1. Uwezo wa serikali kupuuza madai yenu na kuendelea na uchaguzi?

2. Wagombea wenu kugoma kujitoa kwa kuwa uongozi ndio unawapa kipato kama ambavyo wabunge mnavyotegemea fedha za ubunge?

3. Kuna uchaguzi mkuu karibuni na itakuwa kichekesho kushiriki wakati mmesusia wa local government?

4. Kusalitiana wenyewe? Tayari CUF kasepa! Mlilishana yamini? Hivi kina nanii wakiitwa chemba wataacha kurubuniwa ilhali vyama ni wao na wao ndio vyama?

5. Kwamba hamna ubavu WA kupambana na dola? Kweli mnaamini mnaweza kulaumiwa? Sio kwamba mtabondwa?

6. Hamkukumbuka wengi wenu mna kesi za kujitakia na ni wavunjaji Sheria mliokubuhu? Iweje kiongozi mkuu alilala ndani miezi 3 Kwa kudharau mahakama na nyie mrudie kosa lile lile huku mmesusa uchaguzi? Sasa mkikaa ndani wote nani atasababisha ile "msilaumiwe"?

7. Hivi hamjui dunia inadharau wanaokimbia uchaguzi? Bora ushiriki halafu udai umeonewa kuliko kukimbia sanduku la kura halafu upayuke "TUSILAUMIANE"!! Wazungu hawapendi japo mnadhani watawasaidia. Hata shuleni unafanya mtihani ndio unalalamika kuna WALIOPEWA majibu kabla!

Mlikurupuka! Bora mngeendelea na ule msimamo wa kuwa ilikuwa ujinga kususia! Sasa mtagombana na watu wenu itakapofika zamu ya ubunge na msisuse. Watu wenu watagoma kujitoa na Serikali haitawapa mtakacho.
Kifaransa hii inaitwa CATCHE 22!!!

Je suis désolé, notre opposition est extrêmement stupide!!!
 
Mimi naona hakuna haja ya kushiriki uchaguzi mwingine kama hawana wawakilishi wa ngazi ya chini, itakuwa ni kubugi, hii ni moja kwa moja till 2025. Hongera upinzani.
 
Swali langu mm ni moja tu 98% wa wagombea wa upinzani wamekatwa kwa makosa ya form zao Coz baada ya kuandika 1980 wao wameandika 1980.. Hili ni moja ya makosa, sasa kwa kosa kama hili si ingetumika busara tu kuwa hakutakiwa kuweka nucta na wangempitisha agombee, sasa kama wote wanamakosa ambayo kibusara wangepitishwa then why waendelee kugombea? But pia ni nafuu kwa ccm na nafuu kwa serikali coz hakuna gharama
 
Umetafakari kama na ww umeongea pumba?

Mbona walipojitoa mlianza kuhangaika na sio kushangilia kwamba mmepita kwa kishindo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hiyo namba 2 wakishinda hatutakua tumevunja katiba kuruhusu wagombea binafsi?
1. Uwezo wa serikali kupuuza madai yenu na kuendelea na uchaguzi?

2. Wagombea wenu kugoma kujitoa kwa kuwa uongozi ndio unawapa kipato kama ambavyo wabunge mnavyotegemea fedha za ubunge?

3. Kuna uchaguzi mkuu karibuni na itakuwa kichekesho kushiriki wakati mmesusia wa local government?

4. Kusalitiana wenyewe? Tayari CUF kasepa! Mlilishana yamini? Hivi kina nanii wakiitwa chemba wataacha kurubuniwa ilhali vyama ni wao na wao ndio vyama?

5. Kwamba hamna ubavu WA kupambana na dola? Kweli mnaamini mnaweza kulaumiwa? Sio kwamba mtabondwa?

6. Hamkukumbuka wengi wenu mna kesi za kujitakia na ni wavunjaji Sheria mliokubuhu? Iweje kiongozi mkuu alilala ndani miezi 3 Kwa kudharau mahakama na nyie mrudie kosa lile lile huku mmesusa uchaguzi? Sasa mkikaa ndani wote nani atasababisha ile "msilaumiwe"?

7. Hivi hamjui dunia inadharau wanaokimbia uchaguzi? Bora ushiriki halafu udai umeonewa kuliko kukimbia sanduku la kura halafu upayuke "TUSILAUMIANE"!! Wazungu hawapendi japo mnadhani watawasaidia. Hata shuleni unafanya mtihani ndio unalalamika kuna WALIOPEWA majibu kabla!

Mlikurupuka! Bora mngeendelea na ule msimamo wa kuwa ilikuwa ujinga kususia! Sasa mtagombana na watu wenu itakapofika zamu ya ubunge na msisuse. Watu wenu watagoma kujitoa na Serikali haitawapa mtakacho.
Kifaransa hii inaitwa CATCHE 22!!!

Je suis désolé, notre opposition est extrêmement stupide!!!
 
Pale unapodhani wapinzani ni "WAO" na watawala ni "SISI" ni kutokujua maana na faida ya Upinzani katika nchi.., vilevile unasahau Mtawala wa leo ni Mpinzani wa Kesho.., na kuzuia Upinzani kwenye majukwaa hakufuti upinzani kwenye roho za watu no matter idadi yao...
 
HAKUNA MPINZANI WA KWELI ATAKAYE SHIRIKI HUO UPUUZI WENU.
 
Pale unapodhani wapinzani ni "WAO" na watawala ni "SISI" ni kutokujua maana na faida ya Upinzani katika nchi.., vilevile unasahau Mtawala wa leo ni Mpinzani wa Kesho.., na kuzuia Upinzani kwenye majukwaa hakufuti upinzani kwenye roho za watu no matter idadi yao...
Hiyo kwa wana lumumba hawaijui maana wanajiona kama miungu watu
 
1. Uwezo wa serikali kupuuza madai yenu na kuendelea na uchaguzi?

2. Wagombea wenu kugoma kujitoa kwa kuwa uongozi ndio unawapa kipato kama ambavyo wabunge mnavyotegemea fedha za ubunge?

3. Kuna uchaguzi mkuu karibuni na itakuwa kichekesho kushiriki wakati mmesusia wa local government?

4. Kusalitiana wenyewe? Tayari CUF kasepa! Mlilishana yamini? Hivi kina nanii wakiitwa chemba wataacha kurubuniwa ilhali vyama ni wao na wao ndio vyama?

5. Kwamba hamna ubavu WA kupambana na dola? Kweli mnaamini mnaweza kulaumiwa? Sio kwamba mtabondwa?

6. Hamkukumbuka wengi wenu mna kesi za kujitakia na ni wavunjaji Sheria mliokubuhu? Iweje kiongozi mkuu alilala ndani miezi 3 Kwa kudharau mahakama na nyie mrudie kosa lile lile huku mmesusa uchaguzi? Sasa mkikaa ndani wote nani atasababisha ile "msilaumiwe"?

7. Hivi hamjui dunia inadharau wanaokimbia uchaguzi? Bora ushiriki halafu udai umeonewa kuliko kukimbia sanduku la kura halafu upayuke "TUSILAUMIANE"!! Wazungu hawapendi japo mnadhani watawasaidia. Hata shuleni unafanya mtihani ndio unalalamika kuna WALIOPEWA majibu kabla!

Mlikurupuka! Bora mngeendelea na ule msimamo wa kuwa ilikuwa ujinga kususia! Sasa mtagombana na watu wenu itakapofika zamu ya ubunge na msisuse. Watu wenu watagoma kujitoa na Serikali haitawapa mtakacho.
Kifaransa hii inaitwa CATCHE 22!!!

Je suis désolé, notre opposition est extrêmement stupide!!!
Kwa jinsi mchakato mzima ulivyokuwa na figisu zilizofanyika tena waziwazi yeyote anayelaumu wapinzani kwa hatua waliyochukuwa kujiweka mbali na uchafuzi huu basi huyo ni taahira tu, au mlitaka tushike mapanga tupambane kudai haki yetu. Sisi tumejitoa na tumekaa kimya sasa nyie nguruwe badala ya kusherehekea kuachiwa shamba la mihogo mnaaza kulaumu wacheni ukahaba wenu.
 
Kaweke kitu kidogo tu mtaani kwako,anzisha timu za mpira na uzipe majina ya vyama.
Kisha pitisha bakuli LA mchango yaani MTU achangie timu yake.

Jibu utapata,lakini si hizi aibu za kujitakia..
 
Back
Top Bottom