CalvinKimaro
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 245
- 314
1. Uwezo wa serikali kupuuza madai yenu na kuendelea na uchaguzi?
2. Wagombea wenu kugoma kujitoa kwa kuwa uongozi ndio unawapa kipato kama ambavyo wabunge mnavyotegemea fedha za ubunge?
3. Kuna uchaguzi mkuu karibuni na itakuwa kichekesho kushiriki wakati mmesusia wa local government?
4. Kusalitiana wenyewe? Tayari CUF kasepa! Mlilishana yamini? Hivi kina nanii wakiitwa chemba wataacha kurubuniwa ilhali vyama ni wao na wao ndio vyama?
5. Kwamba hamna ubavu WA kupambana na dola? Kweli mnaamini mnaweza kulaumiwa? Sio kwamba mtabondwa?
6. Hamkukumbuka wengi wenu mna kesi za kujitakia na ni wavunjaji Sheria mliokubuhu? Iweje kiongozi mkuu alilala ndani miezi 3 Kwa kudharau mahakama na nyie mrudie kosa lile lile huku mmesusa uchaguzi? Sasa mkikaa ndani wote nani atasababisha ile "msilaumiwe"?
7. Hivi hamjui dunia inadharau wanaokimbia uchaguzi? Bora ushiriki halafu udai umeonewa kuliko kukimbia sanduku la kura halafu upayuke "TUSILAUMIANE"!! Wazungu hawapendi japo mnadhani watawasaidia. Hata shuleni unafanya mtihani ndio unalalamika kuna WALIOPEWA majibu kabla!
Mlikurupuka! Bora mngeendelea na ule msimamo wa kuwa ilikuwa ujinga kususia! Sasa mtagombana na watu wenu itakapofika zamu ya ubunge na msisuse. Watu wenu watagoma kujitoa na Serikali haitawapa mtakacho.
Kifaransa hii inaitwa CATCHE 22!!!
Je suis désolé, notre opposition est extrêmement stupide!!!