Mlipuko mkubwa watokea mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Watu zaidi ya 78 wafariki na zaidi ya 4,000 kujeruhiwa

Hizo picha ni halisia ya tukio lililoripotiwa?
 
uko sahihi kabisa mkuu, hata hapa TZ umasikini umeletwa na chama twawala kwa msaada wa ujinga!.
 
Naangalia CNN, sioni mji wote unaungua! Wako live na Ben Wedman anatangaza live at the rocked port
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…