Mlipuko mkubwa watokea mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Watu zaidi ya 78 wafariki na zaidi ya 4,000 kujeruhiwa

Mlipuko mkubwa watokea mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Watu zaidi ya 78 wafariki na zaidi ya 4,000 kujeruhiwa

Hizo picha ni halisia ya tukio lililoripotiwa?
 
..labda chama tawala cha Lebanon.

..majanga makubwa duniani yameanzishwa na vyama tawala.

..genocide ya wayahudi ilikuwa sera ya chama tawala cha ujerumani.

..genocide ya rwanda ilipangwa na kutekelezwa na umoja wa vijana wa chama tawala cha rwanda.
uko sahihi kabisa mkuu, hata hapa TZ umasikini umeletwa na chama twawala kwa msaada wa ujinga!.
 
A large blast has hit the Lebanese capital, Beirut, causing widespread damage and injuring many people,

source #bbcnewsView attachment 1527260View attachment 1527262View attachment 1527259
bbcnews_20200804_5.jpg
View attachment 1527261

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naangalia CNN, sioni mji wote unaungua! Wako live na Ben Wedman anatangaza live at the rocked port
 
Back
Top Bottom