Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uko sahihi kabisa mkuu, hata hapa TZ umasikini umeletwa na chama twawala kwa msaada wa ujinga!...labda chama tawala cha Lebanon.
..majanga makubwa duniani yameanzishwa na vyama tawala.
..genocide ya wayahudi ilikuwa sera ya chama tawala cha ujerumani.
..genocide ya rwanda ilipangwa na kutekelezwa na umoja wa vijana wa chama tawala cha rwanda.
Unaweza kutuwekea ushahidi?uko sahihi kabisa mkuu, hata hapa TZ umasikini umeletwa na chama twawala kwa msaada wa ujinga!.
Kwa nini unapenda vita?Hezbullah imeonya kama israel itakuwa inahusika basi watahakikisha wanaingia jelusalimu kibabe mimi napenda vita ngoja nisikilizie
Mungu awanusuruA large blast has hit the Lebanese capital, Beirut, causing widespread damage and injuring many people,
source #bbcnewsView attachment 1527260View attachment 1527262View attachment 1527259View attachment 1527263View attachment 1527261
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa Hizbollah si ndo wababe wenyewe wa kazi kwa pande hizo? Inakuwaje tena karakana inachomeka mbele yao. Jamaa wanatisha kama njaa had serikali yao inafyata.
Hakuna anaependa vita wewe unapenda kusikia habari za vita kwa wengine.Hezbullah imeonya kama israel itakuwa inahusika basi watahakikisha wanaingia jelusalimu kibabe mimi napenda vita ngoja nisikilizie