China inakabiliana na mlipuko mpya wa virusi vya human metapneumovirus (HMPV), vinavyoenea kwa kasi katika majimbo ya kaskazini, hasa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 14, ikiwa ni miaka mitano baada ya janga la Covid-19.
Ripoti na machapisho kwenye mitandao ya kijamii yanadokeza kuwa virusi hivyo vinasambaa kwa kasi huku wengine wakidai hospitali na sehemu za kuchomea maiti zimezidiwa.
HMPV husababisha dalili zinazofanana na mafua, huku nyingine zikiwa sawa na zile za Covid-19. Maafisa wa afya wanafuatilia kwa karibu hali hiyo wakati virusi hivyo vikiendelea kuenea.
Your browser is not able to display this video.
Dalili za HMPV, kama ilivyobainishwa na CDC, ni pamoja na: kikohozi na mafua makali au Pua iliyoziba, homa, maumivu ya koo, kupumua kwa shida na Uchovu wa mwili.
wangapi wamekula nyoka au panya huko marekani au urusi na hata huku Tanzania mbona hatuoni virusi hivyo miaka nenda rudi, hivi virusi na magonjwa nazani vinatengenezwa mahabara na magaidi ili kuuwa watu.
China inakabiliana na mlipuko mpya wa virusi vya human metapneumovirus (HMPV), vinavyoenea kwa kasi katika majimbo ya kaskazini, hasa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 14, miaka mitano baada ya janga la Covid-19. View attachment 3191486
Ripoti na machapisho kwenye mitandao ya kijamii yanadokeza kuwa virusi hivyo vinasambaa kwa kasi huku wengine wakidai hospitali na sehemu za kuchomea maiti zimezidiwa. View attachment 3191487
HMPV husababisha dalili zinazofanana na mafua, huku nyingine zikiwa sawa na zile za Covid-19. Maafisa wa afya wanafuatilia kwa karibu hali hiyo wakati virusi hivyo vikiendelea kuenea. View attachment 3191488
Dalili za HMPV, kama ilivyobainishwa na CDC, ni pamoja na: kikohozi na mafua makali au Pua iliyoziba, homa, maumivu ya koo, kupumua kwa shida na Uchovu wa mwili. View attachment 3191491 View attachment 3191489 View attachment 3191490
==
Acha tu. Tumekuwa wengi sijui mpaka hatuna thamani tena. Yaani mtu kukaa na kutengeneza tatizo litakaloleta pesa hapati shida kabisa. Sijui tukidouble itakuaje.
wangapi wamekula nyoka au panya huko marekani au urusi na hata huku Tanzania mbona hatuoni virusi hivyo miaka nenda rudi, hivi virusi na magonjwa nazani vinatengenezwa mahabara na magaidi ili kuuwa watu.