Mlipuko mpya wa Virusi (HMPV) wazuka China, miaka 5 baada ya janga la COVID-19, Hospitali na sehemu za kuchomea maiti zazidiwa

Mlipuko mpya wa Virusi (HMPV) wazuka China, miaka 5 baada ya janga la COVID-19, Hospitali na sehemu za kuchomea maiti zazidiwa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
China inakabiliana na mlipuko mpya wa virusi vya human metapneumovirus (HMPV), vinavyoenea kwa kasi katika majimbo ya kaskazini, hasa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 14, ikiwa ni miaka mitano baada ya janga la Covid-19.
photo-output.jpeg

Ripoti na machapisho kwenye mitandao ya kijamii yanadokeza kuwa virusi hivyo vinasambaa kwa kasi huku wengine wakidai hospitali na sehemu za kuchomea maiti zimezidiwa.
photo-output.jpeg

HMPV husababisha dalili zinazofanana na mafua, huku nyingine zikiwa sawa na zile za Covid-19. Maafisa wa afya wanafuatilia kwa karibu hali hiyo wakati virusi hivyo vikiendelea kuenea.

Dalili za HMPV, kama ilivyobainishwa na CDC, ni pamoja na: kikohozi na mafua makali au Pua iliyoziba, homa, maumivu ya koo, kupumua kwa shida na Uchovu wa mwili.
IMG_2236.jpeg

==

IMG_2232.jpeg
IMG_2233.jpeg
 
China inakabiliana na mlipuko mpya wa virusi vya human metapneumovirus (HMPV), vinavyoenea kwa kasi katika majimbo ya kaskazini, hasa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 14, miaka mitano baada ya janga la Covid-19.
View attachment 3191486
Ripoti na machapisho kwenye mitandao ya kijamii yanadokeza kuwa virusi hivyo vinasambaa kwa kasi huku wengine wakidai hospitali na sehemu za kuchomea maiti zimezidiwa.
View attachment 3191487
HMPV husababisha dalili zinazofanana na mafua, huku nyingine zikiwa sawa na zile za Covid-19. Maafisa wa afya wanafuatilia kwa karibu hali hiyo wakati virusi hivyo vikiendelea kuenea.
View attachment 3191488
Dalili za HMPV, kama ilivyobainishwa na CDC, ni pamoja na: kikohozi na mafua makali au Pua iliyoziba, homa, maumivu ya koo, kupumua kwa shida na Uchovu wa mwili.
View attachment 3191491
View attachment 3191489
View attachment 3191490
==

View attachment 3191492View attachment 3191493
Na Hawa wapumbavu wamekataa kutoa data Wala za uviko 19 Wala kuruhusu WHO kufanya uchunguzi.

Juzi niliona kwenye world statistics kwamba mwaka huu wa 2025 Kuna mlipuko mwingine labda ndio huu.
 
Back
Top Bottom