Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Sijui itakuaje huku maana yule aliyekuwa na ujasiri na maoni ya mbali hayupo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe unaandika sentensi kwa maandishi makubwa inaonesha uwezo wako wa akili ulivyo mdogoAISEE!
HIVI KWELI MTU ANAANDIKA MAHABARA AKIMAANISHA MAABARA?
Nimeona manabii wengi wametabili hili janga na kweli limetokeaChina inakabiliana na mlipuko mpya wa virusi vya human metapneumovirus (HMPV), vinavyoenea kwa kasi katika majimbo ya kaskazini, hasa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 14, ikiwa ni miaka mitano baada ya janga la Covid-19.
View attachment 3191486
Ripoti na machapisho kwenye mitandao ya kijamii yanadokeza kuwa virusi hivyo vinasambaa kwa kasi huku wengine wakidai hospitali na sehemu za kuchomea maiti zimezidiwa.
View attachment 3191487
HMPV husababisha dalili zinazofanana na mafua, huku nyingine zikiwa sawa na zile za Covid-19. Maafisa wa afya wanafuatilia kwa karibu hali hiyo wakati virusi hivyo vikiendelea kuenea.
View attachment 3191488
Dalili za HMPV, kama ilivyobainishwa na CDC, ni pamoja na: kikohozi na mafua makali au Pua iliyoziba, homa, maumivu ya koo, kupumua kwa shida na Uchovu wa mwili.
View attachment 3191491
View attachment 3191489
View attachment 3191490
==
View attachment 3191492View attachment 3191493
SAWA.wewe unaandika sentensi kwa maandishi makubwa inaonesha uwezo wako wa akili ulivyo mdogo
alafu bado unaendelea kuandika jumbe za kawaida kwa maandishi makubwa nani kakufundisha uandishi huo ? ukiona nipo kwenye mada serious alafu wewe unakuja kuleta utani kwaajili ya kupata sifa unaonesha uwezo wako ulivyo mdogo mda mwengine naweza kukosea uandishi kwa bahati mbaya hili ni sawa lakini tusilete masihara kwenye vitu serious kwaajili ya kupata sifa nazani umenielewa.SAWA.
Duh!! Tena..China inakabiliana na mlipuko mpya wa virusi vya human metapneumovirus (HMPV), vinavyoenea kwa kasi katika majimbo ya kaskazini, hasa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 14, ikiwa ni miaka mitano baada ya janga la Covid-19.
View attachment 3191486
Ripoti na machapisho kwenye mitandao ya kijamii yanadokeza kuwa virusi hivyo vinasambaa kwa kasi huku wengine wakidai hospitali na sehemu za kuchomea maiti zimezidiwa.
View attachment 3191487
HMPV husababisha dalili zinazofanana na mafua, huku nyingine zikiwa sawa na zile za Covid-19. Maafisa wa afya wanafuatilia kwa karibu hali hiyo wakati virusi hivyo vikiendelea kuenea.
View attachment 3191488
Dalili za HMPV, kama ilivyobainishwa na CDC, ni pamoja na: kikohozi na mafua makali au Pua iliyoziba, homa, maumivu ya koo, kupumua kwa shida na Uchovu wa mwili.
View attachment 3191491
View attachment 3191489
View attachment 3191490
==
View attachment 3191492View attachment 3191493
Sio kupunguza watu wao, Kuna wababe wengi nyuma ya china, kwa wasiojua mambo Iko hivi, USA,Russia,China na other big Players tunaowaona wanapingana kumbe nyuma ya keyboard hawa ni marafiki, na wakitaka jambo lao litimie, watalitimiza kivyovyote vile iwe kumwaga damu za raia wao wenyewe au hata machafuko nje ya mipaka yao, ilimladi tu mipango Yao itimie.China wana mpango wa kupunguza idadi ya watu wao nini? Vitu vibaya hasa magonjwa ya mlipuko mengi huanzia China.
Afrika tunapona sana na majanga yao sababu hali ya hewa inatupendelea, Kuna namna majanga mengi sana wanayatabiri lkn hayatokei kama watakavyo sababu kuu ni kwamba Afrika ndiko chanzo cha uhai wa dunia, ni ngumu maangamizi ya viumbehai yatokee Afrika kwa Ukubwa, japo kunakua na effects ambazo si sawa na continents zingine.Dsm joto Kali nyuzi 40 virusi vya mafua havina hivyo havina nguvu
Hao jamaa wanataka kuwaua watu wa afrika hao Moja HAPOChina inakabiliana na mlipuko mpya wa virusi vya human metapneumovirus (HMPV), vinavyoenea kwa kasi katika majimbo ya kaskazini, hasa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 14, ikiwa ni miaka mitano baada ya janga la Covid-19.
View attachment 3191486
Ripoti na machapisho kwenye mitandao ya kijamii yanadokeza kuwa virusi hivyo vinasambaa kwa kasi huku wengine wakidai hospitali na sehemu za kuchomea maiti zimezidiwa.
View attachment 3191487
HMPV husababisha dalili zinazofanana na mafua, huku nyingine zikiwa sawa na zile za Covid-19. Maafisa wa afya wanafuatilia kwa karibu hali hiyo wakati virusi hivyo vikiendelea kuenea.
View attachment 3191488
Dalili za HMPV, kama ilivyobainishwa na CDC, ni pamoja na: kikohozi na mafua makali au Pua iliyoziba, homa, maumivu ya koo, kupumua kwa shida na Uchovu wa mwili.
View attachment 3191491
View attachment 3191489
View attachment 3191490
==
View attachment 3191492View attachment 3191493
Katika vitu ambavyo hutakiwi kufanya ikiwa una shida ya kupumua ni kujifukiza utapoteaJaribio lingine tena hili
Yaani biological weapon
Mchina hataki utani kila wakati anaanza na kwake halafu inasambaa
Sisi masikini ya Mungu hatuna la kufanya ni maombi kwa sana na Nyungu kama kawa
hakuna silaha itakayoshinda juu yetuJaribio lingine tena hili
Yaani biological weapon
Mchina hataki utani kila wakati anaanza na kwake halafu inasambaa
Sisi masikini ya Mungu hatuna la kufanya ni maombi kwa sana na Nyungu kama kawa
ila kuna washenzi wanaiharibu dunia kwa maslahi yaoHuu mwaka huu Sina Imani nao kabisa, hawa jamaa wenye dunia Yao huenda Wana mipango Yao mikubwa ambayo ita-change systems dunia nzima ktk nyanja mbalimbali.
Soon tutaanza kushuhudia mengi, tuombe tu viongozi wetu wawe na utu kwa raia wao, waache ubinafsi+roho mbaya kupitisha Kila waambiwacho na hao mabwana zao wanaoicontrol dunia.
Dunia si salama kabisa kwa maisha ya viumbehai