imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ndugu zangu Wanaafrika mashariki mikakati ya Raisi Uhuru Kenyetta inaanza kuzaa matunda.
Jana Usiku magaidi wa Alshababu na wale wa Ansaar suna kutoka Zanzibar wametangulizwa mbele ya haki na Vikosi vya visivyojulikana mashuhuda wanasema ni KDF Comandos
Bwana Yesu asifiwe
Watashindana lakini hawatashinda.