Mlipuko mwingine umetokea South Somalia inasemekana Magaidi wa Kizanzibari ni miongoni mwa Waliouwawa

Moderator naona wanamchekea sana huyu jamaa, kila siku anakuja na mada za kuichonganisha Tz vs Somalia, na anaonekana kuna koo au kabila ndio anataka watawale Somalia, ana maslahi binafsi analeta habari za kutunga tunga na kuleta chuki kati ya utawala wa Somalia na wananchi waTz, ana agenda gani ya siri huyu?
 
Hakuna cha kuchonganisha wa chuki hao jamaa washenzi sana popote walipo ni ku declair vita tu Kwan wale wa kibiti walichonganishwa na nan? Yan sifikirii kabisa mtu aliyeenda shule kulia lia eti anachonganishwa na hao mafala wakati hawanag negotiation na mtu yoyote kwenye maushenzi yao wanapofanyia watu
 
Moderator naona wanamchekea sana huyu jamaa, kila siku anakuja na mada za kuichonganisha Tz vs Somalia, na anaonekana kuna koo au kabila ndio anataka watawale Somalia, ana maslahi binafsi analeta habari za kutunga tunga na kuleta chuki kati ya utawala wa Somalia na wananchi waTz, ana agenda gani ya siri huyu?
Hakuna cha kuchonganisha wala chuki hao jamaa washenzi sana popote walipo ni ku declair vita tu Kwan wale wa kibiti walichonganishwa na nan? Yan sifikirii kabisa mtu aliyeenda shule kulia lia eti anachonganishwa na hao mafala wakati hawanag negotiation na mtu yoyote kwenye maushenzi yao wanapofanyia watu
 
Chuki gani tayri somalia wameshalianzisha...alshabab tayari wameua watanzania...

Kwani Al Shabab waliwa target watanzania, ingekuwa shambulio lipo ndani ya ardhi ya Tz sawa, acheni kutafuta choko choko zisizo wahusu, acheni Kenya wapambane vita yao, Tz tuna matatizo ya kiuchumi na kijamii yanayotutosha.
 
Alaaa!!kauli tena imebadilika...si nynyi mlisema mtanzania haguswi...akiguswa tutawajua...leo tena mmebadilisha kauli...

Km mlivyoingia msumibiji kutafuta wale jamaa walioua watu wenu..kisa mlipata taarifa hwatumii RPG[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Ingieni na somalia bana...damu ya mtanzania haipotei...makomando wenu ni hatari kabisa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndugu zangu Wanaafrika mashariki mikakati ya Raisi Uhuru Kenyetta inaanza kuzaa matunda.
Jana Usiku magaidi wa Alshababu na wale wa Ansaar suna kutoka Zanzibar wametangulizwa mbele ya haki na Vikosi vya visivyojulikana mashuhuda wanasema ni KDF Comandos
Bwana Yesu asifiwe
Watashindana lakini hawatashinda.
Safi sana,KDF,hiyo ndio dawa,hatutaki mambo ya mpeketoni yajirudie,
Hao dawa yao huwa ni shaba tu
 
Silaha kutoka Turkey zikishushwa kwenue Bandandari ya mogadishu Dola la Kiislamu limajiandaa kutangaza Jihadi dhidi ya nchi zenye kupenda Amani Waarabu na Waajemi wanataka kurudisha utawala wao wa kidhalimu dhidi yetu
Na sasa Wameanzisha New front ya Sofala hadi Azania.

View attachment 1154152
Leta ushahidi kuwa Turkey ndio wanahusika
 
Alaaa!!kauli tena imebadilika...si nynyi mlisema mtanzania haguswi...akiguswa tutawajua...leo tena mmebadilisha kauli...

Km mlivyoingia msumibiji kutafuta wale jamaa walioua watu wenu..kisa mlipata taarifa hwatumii RPG[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Ingieni na somalia bana...damu ya mtanzania haipotei...makomando wenu ni hatari kabisa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We unawatambua walokufa kabila gani?
Waliokufa hawatuhusu vilivyo kwasababu ni wasomali walioloweya Tz.
 
Alaaa!!kauli tena imebadilika...si nynyi mlisema mtanzania haguswi...akiguswa tutawajua...leo tena mmebadilisha kauli...

Km mlivyoingia msumibiji kutafuta wale jamaa walioua watu wenu..kisa mlipata taarifa hwatumii RPG[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Ingieni na somalia bana...damu ya mtanzania haipotei...makomando wenu ni hatari kabisa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu una ubishi wa kikisii.
Au mkisii wewe??
Wale wasomali walioloweya Tz.
Waache wamekufa in their motherland.
 
Back
Top Bottom