carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,259
Hahaha.. Asee...View attachment 1154119
Imekula kwako Mheshimiwa Gaidi.mpango wenu wa Kuupiga Vita Ukristu kamwe hautofanikiwa ushindwe kwa Jina la Yesu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.. Asee...View attachment 1154119
Imekula kwako Mheshimiwa Gaidi.mpango wenu wa Kuupiga Vita Ukristu kamwe hautofanikiwa ushindwe kwa Jina la Yesu.
Watanzania ndio huwa wabishi lakini ndugu zetu Wakenya hawaganyi mzaha kwani wanajua Ubaya wa Ugaidi
Unapenda sana kuwatetea magaidi. Wakristo hawalazimishi mja yeyote kukubali dini yao. Waislamu ndio wanafanya hayoHivi Somalia kuna Wakristo wanaopigana na Waislam au Wakristo wameenda huko Somalià kuua Waislam?
Unapenda sana kuwatetea magaidi. Wakristo hawalazimishi mja yeyote kukubali dini yao. Waislamu ndio wanafanya hayo
Ushahidi autoe wapi nae muongoHalafu daily twamwambia alete ushahidi haleti ati.
Still quoting women!? You're a typical warthog I sayHivi ww hujaachaga kuropoka?!
Kama hao wanaua wakristo peke yao kwann wasomali wenyewe hawawapendi Alshabab ?!
Na kwann pia waislam huuwawa na Alshabab ?!
Hao wana interest zao wanazitafuta.
Usiingizie udini kuku maji wewe.
Maana wale wakifika wanamimina njugu tuu.
Ingekuwa wanabagua dini wasingewaua wale waislamu walioloweya Tanzania.
Msururu wa Alshababu na kutoka Zanzibar wakiwa mbioni kuelekea Jahanamu huku wakisubiriwa na Wasichana Themanini wa Kishihiri.View attachment 1155228
True speakingModerator naona wanamchekea sana huyu jamaa, kila siku anakuja na mada za kuichonganisha Tz vs Somalia, na anaonekana kuna koo au kabila ndio anataka watawale Somalia, ana maslahi binafsi analeta habari za kutunga tunga na kuleta chuki kati ya utawala wa Somalia na wananchi waTz, ana agenda gani ya siri huyu?
Kumbe umemuona mzee.??!!True speaking
Mm msomali huyu jamaa NI muongo na anachukii fulanii
Huwa simuelewi
Kumbe umemuona mzee.??!!
Na huyu jamaa mkenya km sio mkisii mkikuyu.
Maana bro mada zake za uchochezi mno.