imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
- Thread starter
- #41
Kabla ya mlipuko wa Kismayo niliwaonya wenzako wengi walinielewa ila wewe ukawa unataka nikutafunie lakini matokeo yake uliyaona mwenyewe na sasa nimekwambia angalia IP adress yangu inasema niko wapi mimi silali mpaka Magaidiimhotep usitutanie sawa lete official media iliyotoa hii habari sawa hizo pic za kuungaunga hazina maana
Alafu uthibitishe pia kuwa ile MELI yenye silaha ni ya uturuki na zilikuwa zinaenda kwa magaidi
Garissa secondary schoolWe jamaa hujitambui..nani kakwambia Al shabab wanapunga Ukristu!? Mtanzania aliye uwawa juzi kwny ile hotel ni mkristu!? Tumia common sense pumba ww..