Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,384
imhotep usitutanie sawa lete official media iliyotoa hii habari sawa hizo pic za kuungaunga hazina maana
Alafu uthibitishe pia kuwa ile MELI yenye silaha ni ya uturuki na zilikuwa zinaenda kwa magaidi