Ndugu zangu Wanaafrika mashariki mikakati ya Raisi Uhuru Kenyetta inaanza kuzaa matunda.
Jana Usiku magaidi wa Alshababu na wale wa Ansaar suna kutoka Zanzibar wametangulizwa mwebele ya haki na Vikosi vya vizivyojulikana mashuhuda wanasema ni KDF Comandos
Bwana Yesu asifiwe
Watashindana lakini hawatashinda.
Ndugu zangu Wanaafrika mashariki mikakati ya Raisi Uhuru Kenyetta inaanza kuzaa matunda.
Jana Usiku magaidi wa Alshababu na wale wa Ansaar suna kutoka Zanzibar wametangulizwa mbele ya haki na Vikosi vya visivyojulikana mashuhuda wanasema ni KDF Comandos
Bwana Yesu asifiwe
Watashindana lakini hawatashinda.
View attachment 1154115
Mizoga ya Alshabab na Ansaar suna ikiwa imatangulizwa Jahanamu na vijana wa KDF.
Richard Inshuti yanje hujui mimi niko wapi saa hizi kama hiamini angalia Ip adress yanguKwaiyo hawa ndio magaidi waliouwawa jana ?
Naona umerudia tabia yako ya kuokoteza picha then unazitungia habari
Sasa nakupa dakika 10 tu uwe umethibitisha hii habari nanka muhira wa bisebiyeko wewe
Richard Inshuti yanje hujui mimi niko wapi saa hizi kama hiamini angalia Ip adress yangu