Mlipuko Tel Aviv: Hii drone iliwezaje kupenya?

Mlipuko Tel Aviv: Hii drone iliwezaje kupenya?

Bishaneniii weee ila hao wa yemen wakianza kupokea kichapo msije mkaanza kulia lia humu kwamba wanaonewa wakati wao wamechokoza nyuki
Hivi huna habari ya dunia? Hujuwi kwanini Wayemeni wameipiga Tel Aviv?

Kumbuka, hao ni Waislam hawaanzi kupiga, huwa wanarudishia tu.

Juzi wameshambuliwa mji wao i8naitwa Hodeidah na wakatangaza kuwa ni lazima walipe.

Tena wameshatangaza na mashoga wenza wa mazayuni wasaudi wakae mkao wa kupokea makombora na drones, wameweka wazi na target zao watakazoipiga. Jionee:


View: https://youtu.be/nM-b72xB5YM?si=FsrVdqhrqetLN8H3
 
Mlipuko huo wavaa kobaz wataulipia pale gaza au lebanon
Gallant ashasema! We will settle the score with anyone who harms the State of Israel or directs terror against it,” Israeli Army Radio quoted Gallant as saying.
 
Angelia Mandela aliyehukumiwa kifo na kufungwa miaka 27 kwa kudai nchi yake.

Wapalestina ni watu wa vitendo, siyo wa kulialia. Miaka zaidi ya 75 leo wanadai haki yao kwa mapambano aina yte unayoijuwa wewe na usiyoijuwa.
Takbiiiiiirrrr
images.jpeg-175.jpg
images.jpeg-174.jpg
 
Rekebisha tena sema wahouthi,,,,maana wayemen wengine ni vibaraka wa israel na marekani
99% ya Wayemeni wanaunga mkono Houthi.
Ndio maana hata 2014 USA na Saudi Arabia ilipotaka kumbakiza Mansour madarakani Wayemeni waliwaunga mkono Houthi dhidi ya USA na Saudi Arabia.
Uliza Yemeni watakwambia serikali yao ni Houthi na Houthi ndio Yemeni.
 
Nani kakuambia Iran imeogopa kuwasaidia!??
MAKUNDI YOTE UNAOYAONA SYRIA,GAZA,IRAQ,YEMENI yanalelewa na Iran.
Hadi hiyo Hizbollah ya Lebanon inalelewa na Iran.
Hata silaha wanazotumia ni za Iran.
Hata israeli anapewa msaada wa silaha na marekani sasa shida iko wapi? Hayo mabomu yote anayodondosha huko Gaza yanatoka marekani.
 
Hata israeli anapewa msaada wa silaha na marekani sasa shida iko wapi? Hayo mabomu yote anayodondosha huko Gaza yanatoka marekani.
Mkuu hujaelewa point yangu ni nini.
Msome nilom quote.
Alisema kuwa Houthi hawana ubavu kama Iran ameshindwa kuwasaidia wao wenyewe watawezaje!?
Ndio mimi nimempinga kuwa kaongopa kwasababu makundi yote yanasaidiwa na Iran.
Hata hiyo Houthi ni nguvu ya Iran.
 
Back
Top Bottom