sawa shekhe padiri nabii titoMi ni padre sema tu nachukizwa sana na uonevu wanaofanyiwa wapalestina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa shekhe padiri nabii titoMi ni padre sema tu nachukizwa sana na uonevu wanaofanyiwa wapalestina.
Pole sana ndugu.Hawana ugumu wowote hao ...hapo yemeni pakichaopwa bomu la nyukilia hao wapuuzi wanapoteana..wale ni wabishi mafala tu unakua mbishi huna teknolojia yeyote unategemea misaada hao wakifinywa watatoa mlio wa panya si mda mrefu.Mm ukiniambia watu wabishi labda kama north korea na wachina hao wanateknoljia na vifaa vyao wenyewe.
Hiyo kitu imewavuruga kabisa Mayahudi! Maana hawaelewi mpaka sasa hiyo drone iliingia vipi na kulipuka kwenye Mji mkuu wao na pasipo kugundulika kwenye mifumo yao ya kiusalama!!Chuma kimetua tel aviv bila onyo
Yaani hao nyau wangejichanganya kusimama mtu bee na Iran wangechakaaHiyo kitu imewavuruga kabisa Mayahudi! Maana hawaelewi mpaka sasa hiyo drone iliingia vipi na kulipuka kwenye Mji mkuu wao na pasipo kugundulika kwenye mifumo yao ya kiusalama!!
Na mbaya zaidi wamegundua imetengenezwa na mahasimu wao wa Iran!
Vita ni gharama sana kaka hao houth hawana cha kupotezs sasa kupigana na mtu alie jishukuru ni ngumu sana.Hao kiboko yao ni kuseti tu nuke inapiga pale yemen wakose mpaka ardhi ya kukaa nakupanga ujinga wao.Pole sana ndugu.
Unadhani nuclear unaitumia tu utakavyo wewe au sio!?
Yani ifikie hatua mpaka wewe mwenye jeshi kubwa unatumia nuke basi wewe tayari dhaifu.
Yemeni mbishi kwasababu kuanzia 2014 mpaka 2021 USA ilijipenyeza kwa Saudi Arabia iliungana na Saudi Arabia kuendelea kuuweka madarakani utawala wa Mansour lakini KUNDI DOGO LA HOUTHI liliwashinda.
Kila mji wanaotaka kuuweka chini ya mamlaka yao Houthi waliupora mji mmoja baada ya mwingine,kila wakijaribu kukomboa hiyo miji wanafeli na kupoteza askari.
Waliwatumia hadi ALQAEDA ila walifeli.
Sasa jiulize hawa watu wakipata silaha zao na teknolojia yao watakua na hatari kiasi gani!?
Hapo red sea mpaka leo wameshambulia zaidi ya meli 4 ikiwemo meli ya UK na USA na wamezuia meli kupita hapo hao mabwana wakubwa hawakuweza kuwazuia wala nini.
Jiulize wakipata silaha wanazounda wenyewe watakua na hatari kiasi gani!??
Ila wameshaanza kuunda silaha zao wenyewe kupitia msaada wa Iran.
Huwa sikisii.Sasa bibi yangu sehem aliyotoka Mtume wetu unaita kwa mashoga wenza???Ama umeokoka nn!! Maana ndugu wa muislam ni muislam mwenzake sasa hao eanataka kuipiga nchi iliyo toa mtume na kuna sehem takatifu kwa wailslam🥱🤯
Hata wewe ni kibaraka wa wayahudi na marekani acheni kuzuga hapaHuwa sikisii.
Mazayuni wa wa Kisaudi wametokea Najd.
Mtume Muhammad Alayhi salaam ni mtu wa Makkah ambayo ni Hejaz.
Hii imeshaamuogopesha hadi usa na makereria yake .mfano tu usa awake carrier pale red sea na .gharma yake pamoja na mindege. Itakuwa itakuwa inaghsrim sio chini ya 150 trillion sasa high value asset kama hii ukitumia hata 1tril ambayo kwa Irani ni mabomu yasiopungua 1500 hiyo carrier haitapona kamweAjabu kuna watu walitaka kuifananisha Iran na Israel.
Hivi itokee battle Iran atumie total missile power aliyonayo Israel inapona!?
Wakishaafeil huwa wanaletaga sia mara ilikuwa ditected lakin hawakugudungua kwa sababu ya makosa ya kibinadam.ujinga ujingaHiyo kitu imewavuruga kabisa Mayahudi! Maana hawaelewi mpaka sasa hiyo drone iliingia vipi na kulipuka kwenye Mji mkuu wao na pasipo kugundulika kwenye mifumo yao ya kiusalama!!
Na mbaya zaidi wamegundua imetengenezwa na mahasimu wao wa Iran!
Una haki na fikra zako mfu.Hata wewe ni kibaraka wa wayahudi na marekani acheni kuzuga hapa
Mkaboost tena na nyota ya daudiUna haki na fikra zako mfu.
Siielewi lugha yako ya kijinga na kitoto.Mkaboost tena na nyota ya daudi
Samwaleko, utaelewa tuSiielewi lugha yako ya kijinga na kitoto.
Uporoto.Samwaleko, utaelewa tu
🦁🦁🦁
Wale jamaa huwa hawajali watapoteza nini.Vita ni gharama sana kaka hao houth hawana cha kupotezs sasa kupigana na mtu alie jishukuru ni ngumu sana.Hao kiboko yao ni kuseti tu nuke inapiga pale yemen wakose mpaka ardhi ya kukaa nakupanga ujinga wao.
Baada ya shambulihilo, Wayemeni wametangaza, sasa Tel Aviv haipo salama tena, na itakuwa "porime target" yao, mpaka mazayuni wasimamishe kuuwa Wapalestina.
"Wayemeni wote wapo tayari kufa kwa ajili ya ndugu zao wa Palestina".
View: https://youtu.be/cc6bWFFTKp8?si=gJzWjPTMOvVUTTFe
Kama inamhusu muisrael moja kwa moja inamhusu Biden, Kama inamhusu Biden na sisi inatuhusu.Hayo ni kwao... Hayatuhusu
Hiki comment yako ni wachache sana kwa sasa watakuelewa wengi watakubeza ila itunze baada ya mwaka 1 au 2 wakati ambapo global financial crisis itakuwa imetukia watakukumbukaKama inamhusu muisrael moja kwa moja inamhusu Biden, Kama inamhusu Biden na sisi inatuhusu.
Ile misaada ya hisani ya watu wa marekani itaadimika, mafuta yatapanda Bei, nauli za daladala zitapanda, tozo zitaongezeka.
Multiplier effect yake sio ya kitoto.