Mlipuko Tel Aviv: Hii drone iliwezaje kupenya?

Mlipuko Tel Aviv: Hii drone iliwezaje kupenya?

Kama inamhusu muisrael moja kwa moja inamhusu Biden, Kama inamhusu Biden na sisi inatuhusu.
Ile misaada ya hisani ya watu wa marekani itaadimika, mafuta yatapanda Bei, nauli za daladala zitapanda, tozo zitaongezeka.
Multiplier effect yake sio ya kitoto.
Hizi hesabu za uongo umezitoa wapi!?
We nani kakwambia Tanzania inaendeshwa kwa hisani ya misaada ya Marekani!?
Mbona kipindi cha Magufuli Trump alisitisha misaada Tanzania na nchi iliendelea kupiga hatua!?
 
Hiki comment yako ni wachache sana kwa sasa watakuelewa wengi watakubeza ila itunze baada ya mwaka 1 au 2 wakati ambapo global financial crisis itakuwa imetukia watakukumbuka
Dollar haina global threat hata upunje.
Kuna mataifa mengi makubwa yameshakua na kuweza kuwa mbadala wa USA katika economic influence.
Tena taifa la kwanza ni China.
 
Angelia Mandela aliyehukumiwa kifo na kufungwa miaka 27 kwa kudai nchi yake.

Wapalestina ni watu wa vitendo, siyo wa kulialia. Miaka zaidi ya 75 leo wanadai haki yao kwa mapambano aina yte unayoijuwa wewe na usiyoijuwa.
Mijitu mizima inashabikia vita ikiwa huko ikwiriri. Nenden muwasaidie kufa basi. Japo naiunga mkono Israel ila kwasasa inatosha. Hiki kichapo ni miaka 100 hawatakisahau. Ila sasa basi jaman watu wanakufa mno, na Israel kule West bank kashachukua eneo lenye ukubwa wa kata nzima kajiongezea.
 
Ndivyo unavyojidanganya hivyo!?
AISEE pole sana.
 
Mijitu mizima inashabikia vita ikiwa huko ikwiriri. Nenden muwasaidie kufa basi. Japo naiunga mkono Israel ila kwasasa inatosha. Hiki kichapo ni miaka 100 hawatakisahau. Ila sasa basi jaman watu wanakufa mno, na Israel kule West bank kashachukua eneo lenye ukubwa wa kata nzima kajiongezea.
South Africa ilichukuliwa yote na wenye nchi wakaambiwa magaidi kwa miaka zaidi ya 200, sasa kiko wapi?

Hilo usiwe na wasiwasi nalo kabisa. Saa imekaribia. Kama Wapalestina hawakai kwenye ardhi kwa raha zao usifikiri mashoga wa kizayuni watakaa kwa raha.
 
Dollar haina global threat hata upunje.
Kuna mataifa mengi makubwa yameshakua na kuweza kuwa mbadala wa USA katika economic influence.
Tena taifa la kwanza ni China.
Dunia inaenda kuwa na single digital currency very soon we umebakia na dhana za dollar bado? pole sana
 
Bashe kafunga kazi ya "cartel" kwa muongozo wa Rais wa Tanzania, Mama Samia Sukuhu Hassan.

Myemeni leo kaibamiza Tel Aviv analipiza kisasi cha kupigwa Hodeidah na katangaza sasa target laini ni Tel Aviv.

Unalielewa hilo?
Anga la wakatoliki
 
20240709_222133.jpg
 
Mapema leo huko Tel Aviv kumetokea mlipuko karibia na ubalozi wa Marekani na kusababisha majeraha.

La kujiuliza ni aina gani ya drone iliyotumika kwenye shambulio hili yaani watu wanastukia kitu kinalipuka na hakuna onyo lolote! Udini na mahaba weka pembeni!

‘Suicide drone’ explodes near US consulate in Tel Aviv – reports​

An explosion injured at least seven people in an area near the US consulate in Tel Aviv early Friday morning. A man in his 30s and a woman in her 20s were wounded by shrapnel and were taken to the hospital, while the others suffered lighter injuries, according to the Times of Israel.

The Israel Defense Forces (IDF) are investigating the explosion, which it suspects was caused by “an aerial target,” a military term it uses for drones, the Times of Israel wrote, adding that no air sirens were heard ahead of the blast.

Piga hayo magaidi ya kiyahudi
 
Watu wa vitendo Gani tena huku wanateketea?? Au vitendo vya kuzikwa na dhambi zao!?

Nyie mashabiki Maandazi wapuuzi sana!! Wewe mwenyewe unaandika ukiwa umejificha msikitini hapo Mbagala Rangitatu!!
🤣🤣🤣
 
Mlipuko huo wavaa kobaz wataulipia pale gaza au lebanon
waHouths wamejinasibisha kuhusika. Kwa mantiki hiyo (kama itakuwa ni kweli na ikathibitika hivyo) watajibiwa hao-hao vikali ipasavyo na Itakuwa ni fundisho kwa wenzao watakaothubutu kufanya hivyo. Tusubiri tuone. Never mess with the Israelites.
 
Back
Top Bottom