Mlipuko Tel Aviv: Hii drone iliwezaje kupenya?

Kuna athari zozote za kiuchumi zilizotokea Globally!!??
YES BRO.

HII HATA WAKINGA NA WAKIBOSHO WA KARIAKOO WANAIJUA. BEI YA KUSAFIRISHA KASHA IMEPANDA SANA.
I rest my case.
 
Mkijibiwa hapo mtaanza kulia lia dunia nzima jinai ya waisrael kuua watoto na wanawake
Muisrael anawaonea wapalestina tu wasiokuwa na jeshi,,, mbona Iran kaogopa baada ya kuvurumishiwa mvua ya makombora,, hizbollah tu anamgwaya kila siku anarusha makombora,, hivi unafikiri yale anayoafanya hizbollah ndo ingekuwa Hamas wanaofanya vile si ungeona mbwembwe kibao za midege kuliko hata sasa hivi,,, ila kule anaogopa anajua jamaa sio wanyonge
 
Kuna athari zozote za kiuchumi zilizotokea Globally!!??
YES BRO.

HII HATA WAKINGA NA WAKIBOSHO WA KARIAKOO WANAIJUA. BEI YA KUSAFIRISHA KASHA IMEPANDA SANA.
I rest my case.
Ipande kwetu tu ila sio kwingineko!?
Labda useme usafirishaji wa majini kupitia ghuba ya redsea baab al mandib ndio gharama zimepanda.
Na hiyo route Sie haituhusu sana kaka.
Uzembe wetu Tanzania tusisingizie Gaza au Ukraine.
 
Hot
waHouths wamejinasibisha kuhusika. Kwa mantiki hiyo (kama itakuwa ni kweli na ikathibitika hivyo) watajibiwa hao-hao vikali ipasavyo na Itakuwa ni fundisho kwa wenzao watakaothubutu kufanya hivyo. Tusubiri tuone. Never mess with the Israelites.
Houth piga hayo magaidi ya Kiyahudi
 
Wapalestina wanadai haki gani? Embu niambie kuna taifa lililowahi kuitwa palestina na mwanzilishi wa hilo taifa aliitwa nani ? Na lilianzishwa mwaka gani?
Kabla ya Israel iliitwa British Palestine... kwanini hapakuitwa Israel enzi za ukoloni wa uingereza? Na hata kibiblia hao wayahudi walivamia nchi iliyokua na fore fathers wa Palestine yaani Canaanites na wewe unajua kabisa walichinja watu ndio wakapora nchi enzi za Joshua.

So labda hoja yako iwe kwamba nchi haina mmiliki ila pale sio asili ya Israel wao pia walivamia tu na kuchinja makabila 13 yaliyoishi pale. Origins ya Israel ni huko Iraq na Syria.
 
waHouths wamejinasibisha kuhusika. Kwa mantiki hiyo (kama itakuwa ni kweli na ikathibitika hivyo) watajibiwa hao-hao vikali ipasavyo na Itakuwa ni fundisho kwa wenzao watakaothubutu kufanya hivyo. Tusubiri tuone. Never mess with the Israelites.
Russia anampa silaha Houthi rebels... unalijua hilo?

Kingine Al Assad messed with Israel mbona alishinda vita?

Hao Israel wanaonea vidagaa tu ila wakipata a proper match wanakimbia kama Syria.
 
Unapigwa ngumi kumi, unarusha moja na kufurahia
 
Mandela hafanani na magaidi wa hamas wewe Mandela hakudai uhuru kwa kubaka watu, kuchoma moto watoto wadogo , kuteka watu , na hakujificha shuleni, hospitalini kuhatarisha maisha ya watu wake
Sikushangai, nafahamu kuwa umejzazwa ujinga na ukakujaa.

"Wajinga ndiyo waliwao" mnajulikana.
 
Hebu tueleze kianga ubaga ..Israeli itafznya maana uwezo wa kutengeneza makombora ya kusafiri umbali huo hana amitumia hizo F 35 haitafika
Mida sio mingi bandari ya hudaidah imepigwa na israhell inasemekana pia f35 zipatazo 12 toka israhell zimetumika
Chaajabu kaungana na shosti zake amerikant na uingereza
Israhell yakawaida sana yaani kwakweli😂😂😂
 
Furahini subiri majibu ya israel
 
Angelia Mandela aliyehukumiwa kifo na kufungwa miaka 27 kwa kudai nchi yake.

Wapalestina ni watu wa vitendo, siyo wa kulialia. Miaka zaidi ya 75 leo wanadai haki yao kwa mapambano aina yte unayoijuwa wewe na usiyoijuwa.
hayo ni mambo israel mwenyewe anayafanya ili kuuhalalishia ulimwengu kwa kile wanachoendelea kukifanya. sawa na mimi kurusha bomb kwenye uwani wangu nikasema wewe ndio umerusha ili nipate uhalali wa kuendelea kukuchapa. mnapigwa changa la macho hivihivi.
 
Magaidi wa kizayuni hawawezi kujipiga ila wanapigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…