Mlipuko Tel Aviv: Hii drone iliwezaje kupenya?

Mlipuko Tel Aviv: Hii drone iliwezaje kupenya?

Huo mwaka wa 1973 ambapo kulitokea vita ya Yomkippur war ni waarabu kugomea mafuta ndio kulileta mtikisiko wa bei ya mafuta.
Sababu sio Israel.
Hiyo 1974 sababu ya sio tu shilingi bali ni uchumi wa Tanzania na East Africa kiujumla kuanza kuwa na masekeseke ni athari za structured adjustment program.
-Embu tuchukulie current issue,Vita ya Gaza na Israel ilodumu miezi 9 Israel imeathirika kiuchumi na pia imeporomoka kidiplomasia mataifa mengi yameitenga Israel,meli hazivuki red sea kwenda Israel.
Je kuna athari zozote za kiuchumi zilitokea Globally!!??
Hayo mafuta mwarabu na Mrusi akileta maringo ndio tutateseka ila sio USA na Israel.
Una mengi ya kujifunza kaka.
Kuna athari zozote za kiuchumi zilizotokea Globally!!??
YES BRO.

HII HATA WAKINGA NA WAKIBOSHO WA KARIAKOO WANAIJUA. BEI YA KUSAFIRISHA KASHA IMEPANDA SANA.
I rest my case.
 
Mkijibiwa hapo mtaanza kulia lia dunia nzima jinai ya waisrael kuua watoto na wanawake
Muisrael anawaonea wapalestina tu wasiokuwa na jeshi,,, mbona Iran kaogopa baada ya kuvurumishiwa mvua ya makombora,, hizbollah tu anamgwaya kila siku anarusha makombora,, hivi unafikiri yale anayoafanya hizbollah ndo ingekuwa Hamas wanaofanya vile si ungeona mbwembwe kibao za midege kuliko hata sasa hivi,,, ila kule anaogopa anajua jamaa sio wanyonge
 
Kuna athari zozote za kiuchumi zilizotokea Globally!!??
YES BRO.

HII HATA WAKINGA NA WAKIBOSHO WA KARIAKOO WANAIJUA. BEI YA KUSAFIRISHA KASHA IMEPANDA SANA.
I rest my case.
Ipande kwetu tu ila sio kwingineko!?
Labda useme usafirishaji wa majini kupitia ghuba ya redsea baab al mandib ndio gharama zimepanda.
Na hiyo route Sie haituhusu sana kaka.
Uzembe wetu Tanzania tusisingizie Gaza au Ukraine.
 
Hot
waHouths wamejinasibisha kuhusika. Kwa mantiki hiyo (kama itakuwa ni kweli na ikathibitika hivyo) watajibiwa hao-hao vikali ipasavyo na Itakuwa ni fundisho kwa wenzao watakaothubutu kufanya hivyo. Tusubiri tuone. Never mess with the Israelites.
Houth piga hayo magaidi ya Kiyahudi
 
Wapalestina wanadai haki gani? Embu niambie kuna taifa lililowahi kuitwa palestina na mwanzilishi wa hilo taifa aliitwa nani ? Na lilianzishwa mwaka gani?
Kabla ya Israel iliitwa British Palestine... kwanini hapakuitwa Israel enzi za ukoloni wa uingereza? Na hata kibiblia hao wayahudi walivamia nchi iliyokua na fore fathers wa Palestine yaani Canaanites na wewe unajua kabisa walichinja watu ndio wakapora nchi enzi za Joshua.

So labda hoja yako iwe kwamba nchi haina mmiliki ila pale sio asili ya Israel wao pia walivamia tu na kuchinja makabila 13 yaliyoishi pale. Origins ya Israel ni huko Iraq na Syria.
 
waHouths wamejinasibisha kuhusika. Kwa mantiki hiyo (kama itakuwa ni kweli na ikathibitika hivyo) watajibiwa hao-hao vikali ipasavyo na Itakuwa ni fundisho kwa wenzao watakaothubutu kufanya hivyo. Tusubiri tuone. Never mess with the Israelites.
Russia anampa silaha Houthi rebels... unalijua hilo?

Kingine Al Assad messed with Israel mbona alishinda vita?

Hao Israel wanaonea vidagaa tu ila wakipata a proper match wanakimbia kama Syria.
 
Unapigwa ngumi kumi, unarusha moja na kufurahia
 
Mandela hafanani na magaidi wa hamas wewe Mandela hakudai uhuru kwa kubaka watu, kuchoma moto watoto wadogo , kuteka watu , na hakujificha shuleni, hospitalini kuhatarisha maisha ya watu wake
Sikushangai, nafahamu kuwa umejzazwa ujinga na ukakujaa.

"Wajinga ndiyo waliwao" mnajulikana.
 
Hebu tueleze kianga ubaga ..Israeli itafznya maana uwezo wa kutengeneza makombora ya kusafiri umbali huo hana amitumia hizo F 35 haitafika
Mida sio mingi bandari ya hudaidah imepigwa na israhell inasemekana pia f35 zipatazo 12 toka israhell zimetumika
Chaajabu kaungana na shosti zake amerikant na uingereza
Israhell yakawaida sana yaani kwakweli😂😂😂
 
Mapema leo huko Tel Aviv kumetokea mlipuko karibia na ubalozi wa Marekani na kusababisha majeraha.

La kujiuliza ni aina gani ya drone iliyotumika kwenye shambulio hili yaani watu wanastukia kitu kinalipuka na hakuna onyo lolote! Udini na mahaba weka pembeni!

‘Suicide drone’ explodes near US consulate in Tel Aviv – reports​


An explosion injured at least seven people in an area near the US consulate in Tel Aviv early Friday morning. A man in his 30s and a woman in her 20s were wounded by shrapnel and were taken to the hospital, while the others suffered lighter injuries, according to the Times of Israel.

The Israel Defense Forces (IDF) are investigating the explosion, which it suspects was caused by “an aerial target,” a military term it uses for drones, the Times of Israel wrote, adding that no air sirens were heard ahead of the blast.

Furahini subiri majibu ya israel
 
Angelia Mandela aliyehukumiwa kifo na kufungwa miaka 27 kwa kudai nchi yake.

Wapalestina ni watu wa vitendo, siyo wa kulialia. Miaka zaidi ya 75 leo wanadai haki yao kwa mapambano aina yte unayoijuwa wewe na usiyoijuwa.
hayo ni mambo israel mwenyewe anayafanya ili kuuhalalishia ulimwengu kwa kile wanachoendelea kukifanya. sawa na mimi kurusha bomb kwenye uwani wangu nikasema wewe ndio umerusha ili nipate uhalali wa kuendelea kukuchapa. mnapigwa changa la macho hivihivi.
 
hayo ni mambo israel mwenyewe anayafanya ili kuuhalalishia ulimwengu kwa kile wanachoendelea kukifanya. sawa na mimi kurusha bomb kwenye uwani wangu nikasema wewe ndio umerusha ili nipate uhalali wa kuendelea kukuchapa. mnapigwa changa la macho hivihivi.
Magaidi wa kizayuni hawawezi kujipiga ila wanapigwa
 
Back
Top Bottom