Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Je, ulishawahi kuwaza au kujiuliza kwa nini wachina hawajasema au kuonesha reaction yoyote mpaka sasa ?.
Nitarudi.
Nitarudi.
Hayo maandamano na hali ya maisha kwa ujumla hapa nchiniWaseme kuhusu nn
👊Wachina ni wanajali maslahi yao na hawana muda na mambo ya haki za binadamu
Wachina,wahindi na waarabu hawana utu katika jamii zao.Je, ulishawahi kuwaza au kujiuliza kwa nini wachina hawajasema au kuonesha reaction yoyote mpaka sasa ?.
Nitarudi.
Mchina, hana utaratibu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi huru. Wenye kiherehere hicho ni Wamarekani.Je, ulishawahi kuwaza au kujiuliza kwa nini wachina hawajasema au kuonesha reaction yoyote mpaka sasa ?.
Nitarudi.
si walishatoa salam za pongez kwa samia uko dunia ganHayo maandamano na hali ya maisha kwa ujumla hapa nchini
Pongezi za uchafuzi mkuu?si walishatoa salam za pongez kwa samia uko dunia gan
kwan hao expert wa vurugu walianza tu kupigwa bila sababu?Pongezi za uchafuzi mkuu?
AlisemajeTrump, Ubalozi wa Marekani ama Republicans wameongea? Ninachojua Kuna mwanamama aliongea ambaye ni Democrats
Waseme nini wakati chini ya majahiri wetu wanakamua kama hawana akili nzuri Nenda Mikocheni uone walivyotawala Nchi yetu.Je, ulishawahi kuwaza au kujiuliza kwa nini wachina hawajasema au kuonesha reaction yoyote mpaka sasa ?.
Nitarudi.