Ulikuwa unanikera sana na kale kaneno CHAI kwenye kila uzi we mcng😃😃
Yashapita hayo kumbe tuko pamoja kudai haki!!
Ni hivi,wachina wako kimya kwa sababu maza wanampimia kwenye angle ya mikopo! Currently she is kinda a prospect customer kwa sababu anakopa kiaina flani! Ila muda si mrefu kwa sababu ulaya na nchi nyingine zitapiga pini misaada kibao basi atakuwa potential customer wa China,watamkopesha kiasi anachotaka na kwa wao wachina itakuwa ndio gape la kuzidi kubeba rasilimali zetu! So wapo kimya wanampimia tu,sooner atajipeleka kibra ye mwenyewe! Wait and see
Hance Mtanashati