Mlishajiuliza kwanini wachina hawajasema chochote mpaka sasa?

⚫ Ukiona alama hii ✔️ maana yake Ujumbe Umepokelewa

⚫ ✔️✔️ Maana yake Ujumbe Umefika.

⚫ Alama ✔️✔️ za buluu
Maana yake Ujumbe Umesomwa

⚫ Alama✔️✔️✔️ za buluu
Maana yake Serikali imechukua Note ya Ujumbe

⚫ Ukiona alama mbili za buluu✔️✔️ na Nyekundu Moja ✔️
Maana yake Serikali inaweza kuchukua hatua dhidi yako.

⚫ Ukiona alama moja✔️ ya buluu na Nyekundu Mbili✔️✔️
Maana yake Serikali inachunguza Taalifa Yako.

⚫ Ukiona alama Tatu Nyekundu✔️✔️✔️
Maana yake Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi yako na utapata wito wa Mahakama punde.
 
Trump, Ubalozi wa Marekani ama Republicans wameongea? Ninachojua Kuna mwanamama aliongea ambaye ni Democrats
 
Je, ulishawahi kuwaza au kujiuliza kwa nini wachina hawajasema au kuonesha reaction yoyote mpaka sasa ?.

Nitarudi.
Waseme nini wakati chini ya majahiri wetu wanakamua kama hawana akili nzuri Nenda Mikocheni uone walivyotawala Nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…