Ya kweli hayo au ni jokes?⚫ Ukiona alama hii ✔️ maana yake Ujumbe Umepokelewa
⚫ ✔️✔️ Maana yake Ujumbe Umefika.
⚫ Alama ✔️✔️ za buluu
Maana yake Ujumbe Umesomwa
⚫ Alama✔️✔️✔️ za buluu
Maana yake Serikali imechukua Note ya Ujumbe
⚫ Ukiona alama mbili za buluu✔️✔️ na Nyekundu Moja ✔️
Maana yake Serikali inaweza kuchukua hatua dhidi yako.
⚫ Ukiona alama moja✔️ ya buluu na Nyekundu Mbili✔️✔️
Maana yake Serikali inachunguza Taalifa Yako.
⚫ Ukiona alama Tatu Nyekundu✔️✔️✔️
Maana yake Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi yako na utapata wito wa Mahakama punde.
Uchafuzi mkuu ndio chanzo cha yote hayo na yule Carl Peter's kwenye umbo la .... akafanya massacre with a lot of killings including innocent civilians bad enough ishaandikwa kwa wino mwekundu haifutiki na haitafutika tena hio kilichobakia ni kisasi tukwan hao expert wa vurugu walianza tu kupigwa bila sababu?
Kamwambie mama yako kule acha ujinga ule unaoufanya X kule⚫ Ukiona alama hii ✔️ maana yake Ujumbe Umepokelewa
⚫ ✔️✔️ Maana yake Ujumbe Umefika.
⚫ Alama ✔️✔️ za buluu
Maana yake Ujumbe Umesomwa
⚫ Alama✔️✔️✔️ za buluu
Maana yake Serikali imechukua Note ya Ujumbe
⚫ Ukiona alama mbili za buluu✔️✔️ na Nyekundu Moja ✔️
Maana yake Serikali inaweza kuchukua hatua dhidi yako.
⚫ Ukiona alama moja✔️ ya buluu na Nyekundu Mbili✔️✔️
Maana yake Serikali inachunguza Taalifa Yako.
⚫ Ukiona alama Tatu Nyekundu✔️✔️✔️
Maana yake Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi yako na utapata wito wa Mahakama punde.
Mwanamama Jacky Rosen, pamoja na wenzake walionesha hali ya wasiwasi kuhusu mwenendo usioridhisha wa maandalizi ya uchaguzi na ukandamizwaji wa upinzani. Siku moja kabla ya uchaguzi.Alisemaje
Wachina huwa wanafukuza mwizi kimya kimya, hawana makelele kama hao Westerners.Je, ulishawahi kuwaza au kujiuliza kwa nini wachina hawajasema au kuonesha reaction yoyote mpaka sasa ?.
Nitarudi.
Wamepongeza Rais mpya.Je, ulishawahi kuwaza au kujiuliza kwa nini wachina hawajasema au kuonesha reaction yoyote mpaka sasa ?.
Nitarudi.
Nafikiri wenye kiherehere ni wale wanaotembeza bakuli. Hakuna pesa ya bure.Mchina, hana utaratibu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi huru. Wenye kiherehere hicho ni Wamarekani.
Huu nao ni ushuzi mwingine⚫ Ukiona alama hii ✔️ maana yake Ujumbe Umepokelewa
⚫ ✔️✔️ Maana yake Ujumbe Umefika.
⚫ Alama ✔️✔️ za buluu
Maana yake Ujumbe Umesomwa
⚫ Alama✔️✔️✔️ za buluu
Maana yake Serikali imechukua Note ya Ujumbe
⚫ Ukiona alama mbili za buluu✔️✔️ na Nyekundu Moja ✔️
Maana yake Serikali inaweza kuchukua hatua dhidi yako.
⚫ Ukiona alama moja✔️ ya buluu na Nyekundu Mbili✔️✔️
Maana yake Serikali inachunguza Taalifa Yako.
⚫ Ukiona alama Tatu Nyekundu✔️✔️✔️
Maana yake Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi yako na utapata wito wa Mahakama punde.
Ulikuwa unanikera sana na kale kaneno CHAI kwenye kila uzi we mcng😃😃Je, ulishawahi kuwaza au kujiuliza kwa nini wachina hawajasema au kuonesha reaction yoyote mpaka sasa ?.
Nitarudi.
Haijawahi na haiwezekani kutokea⚫ Ukiona alama hii ✔️ maana yake Ujumbe Umepokelewa
⚫ ✔️✔️ Maana yake Ujumbe Umefika.
⚫ Alama ✔️✔️ za buluu
Maana yake Ujumbe Umesomwa
⚫ Alama✔️✔️✔️ za buluu
Maana yake Serikali imechukua Note ya Ujumbe
⚫ Ukiona alama mbili za buluu✔️✔️ na Nyekundu Moja ✔️
Maana yake Serikali inaweza kuchukua hatua dhidi yako.
⚫ Ukiona alama moja✔️ ya buluu na Nyekundu Mbili✔️✔️
Maana yake Serikali inachunguza Taalifa Yako.
⚫ Ukiona alama Tatu Nyekundu✔️✔️✔️
Maana yake Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi yako na utapata wito wa Mahakama punde.
Exactly umepatia 100% .Ulikuwa unanikera sana na kale kaneno CHAI kwenye kila uzi we mcng😃😃
Yashapita hayo kumbe tuko pamoja kudai haki!!
Ni hivi,wachina wako kimya kwa sababu maza wanampimia kwenye angle ya mikopo! Currently she is kinda a prospect customer kwa sababu anakopa kiaina flani! Ila muda si mrefu kwa sababu ulaya na nchi nyingine zitapiga pini misaada kibao basi atakuwa potential customer wa China,watamkopesha kiasi anachotaka na kwa wao wachina itakuwa ndio gape la kuzidi kubeba rasilimali zetu! So wapo kimya wanampimia tu,sooner atajipeleka kibra ye mwenyewe! Wait and see
Hance Mtanashati