Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

Last edited by a moderator:
Tanga Beach Resort tunapata upepo na wajukuu!

wewe vipi?

Just like a joke but not! Nipo Nyumbani hotel and Restaurant hapa Moshi. Tatizo hakuna ile kitu Blaki Womani anaipenda! Hata hivyo hakuna kinachoharibika maana Malindi is near by! Enjoy!!!
 
Last edited by a moderator:

Hutakuwa umetenda haki bila kutamka kwa kinywa kwamba licha ya PJ kama mwenye kiti, Preta ndiye aliyesimamia show nzima kama mratibu!
 
Last edited by a moderator:
nilienda Kange hadi jeshini!

Kange wapi, umesahau ulivyokuja pale chumbani ulisema unakwenda wapi Filipo?????
Ukiwa Muongo, Usiwe Msahaulifu.

Nakumbuka ulinambia kuwa umemkumbuka Hidaya wa Kange, Hadi ukaamua kunitumia picha zake.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…