Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

Last edited by a moderator:
Tanga Beach Resort tunapata upepo na wajukuu!

wewe vipi?

Just like a joke but not! Nipo Nyumbani hotel and Restaurant hapa Moshi. Tatizo hakuna ile kitu Blaki Womani anaipenda! Hata hivyo hakuna kinachoharibika maana Malindi is near by! Enjoy!!!
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli nawapongeza wote mliofanikisha hii safari....
Kuanzia kiongozi PakaJimmy na wote, Blaki Womani, marejesho Filipo, Arushaone,Lily Flower, Preta, werawera, Dark City, KOKUTONA, CHUAKACHARA Mwanyasi na Arabela, watu8, Smile na Madame B.
yaani nawatamania sana...... nitajitahidi kujipanga kwa trip nyingine, maana sisi wengine tukisikia kuna safari basi mabegi yanaanza kurukaruka kwenye makabati.....

Hutakuwa umetenda haki bila kutamka kwa kinywa kwamba licha ya PJ kama mwenye kiti, Preta ndiye aliyesimamia show nzima kama mratibu!
 
Last edited by a moderator:
nilienda Kange hadi jeshini!

Kange wapi, umesahau ulivyokuja pale chumbani ulisema unakwenda wapi Filipo?????
Ukiwa Muongo, Usiwe Msahaulifu.
depositphotos_4273377-Set-of-happy-love-couple-silhouettes.-Boys-and-girls.jpg

Nakumbuka ulinambia kuwa umemkumbuka Hidaya wa Kange, Hadi ukaamua kunitumia picha zake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom