Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu pande zipi leo, mwaka mpya huoo waja.
TANGAZO:
Mama yangu kipenzi karuhusiwa saa 8 kutoka hospital! Habari ziwafikie PakaJimmy Lily Flower sweetlady Erickb52 Filipo Preta marejesho Dark City Mwanyasi werawera Blaki Womani Mzee wa Rula Madame B Arabela KOKUTONA na JF wote.
Tanga Beach Resort tunapata upepo na wajukuu!
wewe vipi?
Kiukweli nawapongeza wote mliofanikisha hii safari....
Kuanzia kiongozi PakaJimmy na wote, Blaki Womani, marejesho Filipo, Arushaone,Lily Flower, Preta, werawera, Dark City, KOKUTONA, CHUAKACHARA Mwanyasi na Arabela, watu8, Smile na Madame B.
yaani nawatamania sana...... nitajitahidi kujipanga kwa trip nyingine, maana sisi wengine tukisikia kuna safari basi mabegi yanaanza kurukaruka kwenye makabati.....
nilienda Kange hadi jeshini!