Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

dah mkuu...ulitutosa sana bana...tulikutafuta mno kuanzia kwa Minchi...majani mapana...barabara ya 8 mpaka Sahare..,bila mafanikio...

Duh! Yaani katika watu ambao nilikuwa nimewapania kuwapa ma-hug tofauti sana hapa Afrika ni wewe! Ila ndio hivyo tena! "Mkamia maji..."

Next time sitakubali au viginevyo nikutimbie kwa ruhusa ya mwenye mgodi.
 
Ila lile kumbatio la kule CHUMVINI hakika hutokuja lipata tena kama lile toka kwa PJ....mpaka dereva alitaka kutuingiza mtaroni jinsi mimacho ilivyokua yamtoka kutaka shuhudia.

Unakumbuka kila PakaJimmy alivyokuwa akizidi kumkumbatia Madame B alikuwa anaongeza kilio ili akumbatiwe zaidi.

Hapana chezeya kumbatio la PJ
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwako Mkuu! Kukutana na wewe ilikuwa ni furaha kubwa!

Acha tu mkuu, dk chache lakini za furha! Dereva alinikera sana Atawapelekaje livepool kula bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…