Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah mkuu...ulitutosa sana bana...tulikutafuta mno kuanzia kwa Minchi...majani mapana...barabara ya 8 mpaka Sahare..,bila mafanikio...
Ila lile kumbatio la kule CHUMVINI hakika hutokuja lipata tena kama lile toka kwa PJ....mpaka dereva alitaka kutuingiza mtaroni jinsi mimacho ilivyokua yamtoka kutaka shuhudia.
Haya bana ! si ngoja tujisomee tu hapa
utarudi lini mkuu? Kwani nguo zimekauka?
Heshima kwako Mkuu! Kukutana na wewe ilikuwa ni furaha kubwa!
Haya bana ! si ngoja tujisomee tu hapa
Naona anawatania tu, tangu mlivoondoka tuko nae hapa wala haniachii......