Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

hata Mamndenyi amefurahi pamoja sana na wana jf waliokwenda tanga,
hope mlifurahi sana. hope Smile pamoja na upweke lakini ulienjoy kiasi chako,
but Mungu akipenda wakati mwingine nami sitaikosa hii trip.
 
Last edited by a moderator:
Daah, nimeupenda usemi wa Chakula cha safari hakiokotwi njiani...

.....afu wewe Dina nishakuona wapi vile? Sijawahi kupata DINNER pamoja nawe kweli? Jaribu kufikiri, mwisho nijie kwenye PM.
 
Last edited by a moderator:
hedicofta je...au hata yenyewe haijui kutua.....?

....Ama kweli Preta nimeamini penye nia pana way..tuonane mwakani, kwa sasa napata mtori na supu ya mgonjwa maza. Enjoy your holiday wisely though...much much love.
 
Last edited by a moderator:
thax dear? hapa nalia naimba tu ,najiuliza na kuwaza sana moyoni iiiii ni kosa gani nililofanya mimiiiiii hata kukosa mupenzi safari ya tangaaaaaa mimi smile!

we Smile we nye.ge mbaya ujue.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom