Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahahahaahh,
Mbona unaniangusha kajukuu??
Ulisahau usemi wetu wa siku zote kuwa raha jipe mwenyewe....
Na pia kuwa, chakula cha safari hakiokotwi njiani........!!
Next time jipange mama Smile, sawa ehhhhhhh??
Babu yako DC!!!
Pia, sisi kama Arusha -Wing tunachukua fursa hii kutoa shukrani za pekee kwa Wana-Dar waliotuunga mkono na kushiriki na sisi mwanzo kati mwisho, tunawapenda sana brodas and Sistos.
Pia shukrani za pekee ziende kwa Wana Tanga wote tajwa, maana walifanya kazi ya ziada kuhakikisha hapaharibiki kitu. Kuna huyu member wa Tanga YNNAH ambaye hakufanikiwa kuungana na sisi, lakini alikuwa anafuatilia kwa ukaribu sana kila hatua tunayosonga, tunampongeza sana na kummwambia kuwa tunampenda.
Mbarikiwe sana nyote!
P afya yako iko poa???
anataka akuchape nayo
Mmmmmmmm!!!!!!!!!!!kuna dizaini ya kuchapia inaweza kuwa kumbato
Nataka kukumbatiwa bwanaunatakiwa "uchapwe!?"
mkuu mbona miguu tu tunaomba na viwiliwili tuvione au wazima wazima... tusifie kazi ya muumba
Endelea tu, Ila ujue 2013 sio 2012.....
kabisa na hapa namtafuta pembe yupo wapi....kwa jinsi rais wetu alivyotupenda hata akatuletea pembe wa kikaburu....yatupasa wote tumfurahie pembe.....na wote tuseme ameeeeeen