Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Nasikitika sana
kuikosa hii! Ama kweli mkamia maji hayanywi na akiyanywa basi yatakuwa
na utoko wa chura dume.
Karibuni tena kunani.
Unataka unifanye nini na hiyo fimbo Filipo?
Ila lile kumbatio la kule CHUMVINI hakika hutokuja lipata tena kama lile toka kwa PJ....mpaka dereva alitaka kutuingiza mtaroni jinsi mimacho ilivyokua yamtoka kutaka shuhudia.
Si unajua nilikuwa najaribu kumteka kiaina PakaJimmy, nayeye akategeka mwenyewe, Chezea Mimi wewe.
Basi kadri niendeleavyo basi nae kumbatio huzidi, nikaona hapo hapo, hasa ukizigatia My Huz AraChuga1 alikuwa amempa Ruhusa PJ
na mikono milaini kama ulimi chezea kumbato wewe
hahahahahah hadi mtu anaulizwa wajisikiaje ,nanukuu "bado hapa" huku kichwa kimelegezewa begani lol ilikuwa hatari Madame B nakuaminia kwa movie uliyocheza pale khaaa
na PJ...?
hivi Mzee Mwanakijiji hawezi ku du ze nidful hapa....kariwaya tu...KUMBATIO LA PAKAJIMMY.....
Aisee mbona mmekomalia sana hii ishu ya KUMBATIO LA PAKAJIMMY!!lakini ulifaudu kuliko wamiliki halali 45km rafu rodi lol
Jamani Blaki Womani, wenzangu wanakumbatiwa mi nichapwe, sitakianataka akuchape nayo
Mohamedi Mtoi ulishawahi kuona wageni wanakuja mwenyeji anajificha?
ilikuwa poa sema mimi sijafurahi sana kila mtu alikuwa na wake mimi tu ndo nilikuwa mpweke naomba kipindi kijacho nitafutiwe patrner hata wa kukodi kwa muda jamani
Hongera zenu jamani.. mi sikuwahi kudhani kama mission yenu ingematerialize..
Big up JF C.C. Big up washiriki na coordinators wa Tanga trip..
GeeCee
Mkuu.
Sijakimbia! Huwa tuna utaratibu wa kufanya kumbukumbu ya marehemu wetu kijijini kila tarehe 23 Disemba. Kibaya zaidi ukatokea na msiba, nimeingia Tanga Tarehe 28 usiku nikiwa hoi na maralia juu. Sina sababu ya kuwakimbia wageni!