Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

raha gani babu watu walikuwa wanakumbatiana kila saa
hivi hujaambiwa kilio alichotoa Madame B wakati pakajimy alimpitisha chumvini pale?
muulize Filipo na Arushaone ndo waliona maana muda huo mamaa wa msafara Preta alikuwa chimbo na mtu chake wake wakipiga savannah

Haaaaaaaaa..............!!!!!!!!!!!!!!!
We Mwana weeeeeee............ Smile
Ukitaka tuanze kutaja Pea hapa, Wallah wengine wataachika kwa mbwembwe na nderemo.
 
Last edited by a moderator:
ilikuwa poa sema mimi sijafurahi sana kila mtu alikuwa na wake mimi tu ndo nilikuwa mpweke naomba kipindi kijacho nitafutiwe patrner hata wa kukodi kwa muda jamani

Hahaha pole mamito....
 
Ila lile kumbatio la kule CHUMVINI hakika hutokuja lipata tena kama lile toka kwa PJ....mpaka dereva alitaka kutuingiza mtaroni jinsi mimacho ilivyokua yamtoka kutaka shuhudia.
watu8 yani Hakunaga kumbatio tamu kama lile la PakaJimmy hata Chimbuvu wangu hajawahi nipaga,
Nini dereva, ulimuona mume wangu Arushaone na Arabela walivyokuwa wanatushangaa........ mpaka nikajisikia aibu yenye Utamu.
 
Nimesema nitarudi Tanga kwaajili ya Arabela! Hii hata wife wangu marejesho ameridhia! Chezeya toto ya kitanga weye!!!! Maji ya ukili si mchezo! Ukiyaoka hutoki kwenye mkeka!
 
Last edited by a moderator:
ilikuwa poa sema mimi sijafurahi sana kila mtu alikuwa na wake mimi tu ndo nilikuwa mpweke naomba kipindi kijacho nitafutiwe patrner hata wa kukodi kwa muda jamani

Jamani!? Next tym utakuwa na Mwanyasi. Usijali mama wa tabasamu!
 
Last edited by a moderator:
Dark City; Umeonaeeeee!!!!! Kuitwa kiongozi ndiyo faiida yake!!!!


Safi sana PakaJimmy,

Ukisikia mtu anaitwa kiongozi, a.k.a mwenyekiti....hii ndiyo maana yake...

Sina mengi zaidi ya kukushukuru wewe na wadau wote ambao waliwezesha hili tukio la kihistoria kutendeka....

Ukweli wa mambo haya utabiki katika kumbukumbu zetu sote, leo na hata vizazi vijavyo!!

Nawapenda sana nyote na karibu tena Ta....... (kwa ruhusu ya mwenyekiti, Mwanyasi)!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ulikuwa unatoa sauti tamu Madame B!!!

Si unajua nilikuwa najaribu kumteka kiaina PakaJimmy, nayeye akategeka mwenyewe, Chezea Mimi wewe.
Basi kadri niendeleavyo basi nae kumbatio huzidi, nikaona hapo hapo, hasa ukizigatia My Huz AraChuga1 alikuwa amempa Ruhusa PJ
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom