Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

Smile;

Unasema kweli???????

Kha ha ha ha ha ha ha haaaaa!!!!! Pole sana na next season tutakuwa wote!!!!!!

ilikuwa poa sema mimi sijafurahi sana kila mtu alikuwa na wake mimi tu ndo nilikuwa mpweke naomba kipindi kijacho nitafutiwe patrner hata wa kukodi kwa muda jamani
 
Last edited by a moderator:
Duh!Nasikitika sana kuikosa hii! Ama kweli mkamia maji hayanywi na akiyanywa basi yatakuwa na utoko wa chura dume.

Karibuni tena kunani.
 
EHEHEEE hebu nirushie maphoto yangu dear ngoja nikupm adress
nyumba kubwa nilikulike weweeee eheheee! ulikuwa unasababishaje mezani?

hahahahhahaha ni mauzoefu tu maphoto nitakutumia mama tabasamu me likes you too
 
Back
Top Bottom