Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

Ibiza ipo Valencia, Spain babu....halafu muandae bibi kabisa....ukiwa single huruhusiwe kwenda na sisi tulio double.....

Nimekusikia kamanda......

Ila sasa wewe Preta mbona uko JF wakati sie tunajua umetangulia mahali kuandaa mkutano wa Joint A and Ta Wings ili tukukule mwaka mupya kwa pamoja??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Nimekusikia kamanda......

Ila sasa wewe Preta mbona uko JF wakati sie
tunajua umetangulia mahali kuandaa mkutano wa Joint A and Ta Wings ili
tukukule mwaka mupya kwa pamoja??

Babu DC!!

ni kweli mkuu....jana hiyo hiyo niliunga safari na hapa nilipo ni full duck kusubiri mwaka mpya...logistics zote zipo kama zilivyopangwa.....
 
Last edited by a moderator:
ni kweli mkuu....jana hiyo hiyo niliunga safari na hapa nilipo ni full duck kusubiri mwaka mpya...logistics zote zipo kama zilivyopangwa.....

Sikuwezi wewe mtaalamu Preta,

Matawi yako hawa ndege wetu akina mbayu wayu hawawezi kutua kabisa....

Tunasubiri feedback....

cc: Mwenyekiti - PakaJimmy,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom