KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,104
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umetubu kabla ya jogoo halijawika.... ila utalipia tu lol !halafu unajua nimekukosea eeh....wewe pamoja na wote....nahitaji msamaha wenu kabla jogoo hajawika....
Acha tu mkuu, dk chache lakini za furha! Dereva alinikera sana Atawapelekaje livepool kula bana
Mohamedi Mtoi ongaa, tiwasiliane isee.Duh!Nasikitika sana kuikosa hii! Ama kweli mkamia maji hayanywi na akiyanywa basi yatakuwa na utoko wa chura dume.
Karibuni tena kunani.
Safi sana PakaJimmy,
Ukisikia mtu anaitwa kiongozi, a.k.a mwenyekiti....hii ndiyo maana yake...
Sina mengi zaidi ya kukushukuru wewe na wadau wote ambao waliwezesha hili tukio la kihistoria kutendeka....
Ukweli wa mambo haya utabiki katika kumbukumbu zetu sote, leo na hata vizazi vijavyo!!
Nawapenda sana nyote na karibu tena Ta....... (kwa ruhusu ya mwenyekiti, Mwanyasi)!!
Babu DC!!
Jamani!!! Mke wake Blaki Womani anammiss sana!
Hahaha PJ ni noumer
Hivi ulienda kange mkuu?
Mohamedi Mtoi ongaa, tiwasiliane isee.
TANGAZO:
Mama yangu kipenzi karuhusiwa saa 8 kutoka hospital! Habari ziwafikie PakaJimmy Lily Flower sweetlady Erickb52 Filipo Preta marejesho Dark City Mwanyasi werawera Blaki Womani Mzee wa Rula Madame B Arabela KOKUTONA na JF wote.
TANGAZO:
Mama yangu kipenzi karuhusiwa saa 8 kutoka hospital! Habari ziwafikie PakaJimmy Lily Flower sweetlady Erickb52 Filipo Preta marejesho Dark City Mwanyasi werawera Blaki Womani Mzee wa Rula Madame B Arabela KOKUTONA na JF wote.