Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

halafu unajua nimekukosea eeh....wewe pamoja na wote....nahitaji msamaha wenu kabla jogoo hajawika....
Bora umetubu kabla ya jogoo halijawika.... ila utalipia tu lol !
 
Safi sana PakaJimmy,

Ukisikia mtu anaitwa kiongozi, a.k.a mwenyekiti....hii ndiyo maana yake...

Sina mengi zaidi ya kukushukuru wewe na wadau wote ambao waliwezesha hili tukio la kihistoria kutendeka....

Ukweli wa mambo haya utabiki katika kumbukumbu zetu sote, leo na hata vizazi vijavyo!!

Nawapenda sana nyote na karibu tena Ta....... (kwa ruhusu ya mwenyekiti, Mwanyasi)!!

Babu DC!!

Babu pande zipi leo, mwaka mpya huoo waja.
 
Back
Top Bottom