Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

PakaJimmy na wote mliokuja Tanga mmebaki kwenye mioyo yetu na tumewaaandika na kalamu isiyofutika kamwe.

We hope to see you soon, you are all cute and charming that hamuishi hamu lol

Tunashukuru kwa shukrani na sisi tunawashukuru pia.

Karibuni tena.
Thanks a lot KOKUTONA...Kutokana na jina lako mi nilijua una mapozi sana, na nilianza kuongea na wewe kwa step sana, yaani niliingiza kwanza mguu mmoja!...Lakini baadaye nilianza kujilaumu kuwa nilipoteza muda mwingi sana kujiulizauliza.

Kokutona u r such a warm person, Pure African Woman, good mannered, and excellent general conduct...sijui kama ulikuwa unaigiza but i dont think so!...ningekukamatia mahali fulani ambapo hakuna mwanadamu anayeweza kupretend.
All i can say is, there is a very lucky man somewhere out there!
Nakuombea usibadilike mwaya.
 
Last edited by a moderator:

Speechless my dia PakaJimmy, kama ni kweli sifa hizi ninazo basi thanks again for the complements.

Mapozi ndo sina mbona, mi niko wa kawaida sana sana.
 
Last edited by a moderator:
Thanks a lot KOKUTONA...Kutokana na jina lako mi nilijua una mapozi sana, na nilianza kuongea na wewe kwa step sana, yaani niliingiza kwanza mguu mmoja!...Lakini baadaye nilianza kujilaumu kuwa nilipoteza muda mwingi sana kujiulizauliza.

Kokutona u r such a warm person, Pure African Woman, good mannered, and excellent general conduct...sijui kama ulikuwa unaigiza but i dont think so!...ningekukamatia mahali fulani ambapo hakuna mwanadamu anayeweza kupretend.
All i can say is, there is a very lucky man somewhere out there!
Nakuombea usibadilike mwaya.

Duh! M/kiti kumbe hauvumi lakini umo!!? Bora yamekukuta kwa KOKUTONA maana ingekuwa Arabela pangechimbika.......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom